Niliacha kushabikia mpira nilipobaini Mpira unageuza Watu Wachawi!

Mimi pia sioni faida ya kuwa shabiki.. Ushabiki ni uchawa, ushabiki ni kufuata mkumbo, shabiki ana sifa zote za uchawi, ushabiki ni uchawi!
 
Kipindi hiki kwa wanasimba mpira ni haram

Yanga na mara chache tim nyingine zitabeba hadi 2030, Simba kuja kubeba kombe ni hadi 2031 Mwigulu akiwarudisha kina makonda wataomsumbua GSM.
Kumbe mwigilu ndo anae ihujumu Simba sukari yao
 
Hauajawai kuwa shabiki wa mpira ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…