GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Nimekuuliza nikileta reference utakiri au it wont make any difference?coz if not there is no point of me wasting my time.Lete reference
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuuliza nikileta reference utakiri au it wont make any difference?coz if not there is no point of me wasting my time.Lete reference
Wewe lete reference na Mimi nikuletee reference kwamba Yesu katika biblia amehamasisha na kuleta ugaidi.Ukiniletea pigo zenu za meditation by holy spirit na mimi nitakuletea pigo zangu.Nimekuuliza nikileta reference utakiri au it wont make any difference?coz if not there is no point of me wasting my time.
Kwani sisi tumebadili tamaduni zetu au unakusudia baadhi ya mabadiliko tu? Mfano hata hao wahindi zamani kwenye movie zao tulikuwa hatuoni wakivaa vichupi kama wazungu ila sasa wahindi tunaona wanavaa vichupi na kupigana ma kiss kama wazungu.KIPI KIFANYIKE NIYO SWALI LA KUJIULIZA......HALAFU MBONA WAHINDI WAMETAWALIWAMIAKAZAII YA WAAFRIKA , MBONA WAO BADOWAPO NA TAMADUNI NA DINI ZAO? WHY SISI?
Love ni sehemu katika maisha yenye zaidi ya love.View attachment 2083564
Love is my religion
Kuna anayezaliwa tu na kumjua Mungu pasina kuelezwa chochote kuhusu Mungu?😂😂 Mungu yupo,ila dini haukufikishi kwa Mungu
Yani kitu ambacho kipo dunia nzima inakuaje unasema kiliundwa kwa ajiri ya waafrika tu?Ndio maana tunasema dini ni miyeyusho tu ya mzungu kutawala akili za mtu blaki.
Yesu hakuleta dini wala kitabu
It seems hutaki kujibu swali langu then lets stop here.Wewe lete reference na Mimi nikuletee reference kwamba Yesu katika biblia amehamasisha na kuleta ugaidi.Ukiniletea pigo zenu za meditation by holy spirit na mimi nitakuletea pigo zangu.
Ndugu ule msemo "kila muamba ngoma,ngozi huvutia kwake"ni sahihi 💯.By the way mimi ndio nilianza kuuliza swali(rejea post ya nyuma).Wewe uka quote na kuamua kujenga mada nyingine.Kweli bora yaishe hapa maana siwezi share ufahamu na mtu anayejifanya yeye ni sahihi 💯 na kuanza kukosoa na asitake kukosolewa.Jua ya kuwa kama mkristo anayo nguvu ya kukosoa uislamu vilevile muislamu anayo nguvu ya kukosoa ukristo,KARMA.It seems hutaki kujibu swali langu then lets stop here.
Umeona eehLove ni sehemu katika maisha yenye zaidi ya love.
Hilo jengo la kanisa kiimani ni sehemu takatifu maana ni sehemu ambayo watu hukutana kwa ajiri ya Mungu wao.Kanisa ni jengo tu, imani yako ndio itakayokuponya siku zote soma biblia.
Nikiwa na maana kwenye maisha kuna mambo mengi upendo ni kitu kimoja wapo tu, mfano hata kwenye dini ambayo sasa inahusIshwa na ugaidi ila ukiangalia mafundisho yake utakuta inaeleza hadi jinsi ya kuishi kwa upendo na majirani zako bila kujari imani zao.Umeona eeh
kumbe mkuu unafirana na kwako ishakua kawaida.Bado imani za mababu zetu ni bora sana..tangu washikiwe akili na wale waliokuja na meli na majahazi wameharibu kizazi chetu kwa gia zao za ustaarabu..leo hii kufirana sio kitu cha ajabu tena..wamefanikiwa sana kupenyeza propaganda zao chafu.
Mbona tunatumia vifaa vyenye lugha zisizo za kwetu na kama haitoshi hata huko shuleni tunafundishwa kwa kutumia lugha zisizo za kwetu, leo hii tiba tunazotumia ni za wazungu si zile tiba za asili na kwetu za mitishamba, sasa inakuaje tuone ubaya kwenye imani/dini ndio tuone zimebeba tamaduni za watu wengine?Inafikirisha sana. Mpaka mwisho binafsi naona dini ni sehemu ya utamaduni wa pahala fulani, Kwanini wakatae ndoa za mitara ila wakubali ndoa za jinsia moja. Jibu rahisi kiutamaduni ubeberuni utamaduni wao ni mke na mume mmoja.
Ni lazima na sisi tukubali kuishi kwenye uhalisia wetu. Tuzingatie tamaduni zetu nzuri
Hii ni dini ya waarabu. Ndo maana ina tamaduni za kiarabu kwa asilimia kubwa. Kuanzia lugha na mavazi.Mkuu Silimu Uje kwenye Dini ya Haki ya MWENYEZI MUNGU mmoja asiye na mshirika na Tunawaamini mitume na manabii wote na kwamba mtume Muhammad ni mtume na mjumbe wa mwisho wa mwenyezi Mungu kwa Binadamu na viumbe wote na ulimwengu wote na tumewaamini Malaika zake wote na vitabu vyake vitukufu walivyokuja navyo mitume & manabii wake Torati-Nabii Musa ,Zaburi -Nabii Daud ,Injili -Nabii Isa (Yesu) ,Quran Tukufu -Nabii Muhammad Swallalahu walehyi wasalaam Karibu ktk Dini ya Uislam Yaani Amani na Unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu Achana na imani za kutunga za kipagani .Asylam Alyekum Warahmatulahi Ta'ala wabarakaqtu
Kwahiyo mkuu ulitaka dini ambayo inatumia lugha ambayo haipo duniani yani lugha ambayo hakuna mwenye kuifahamu?Hii ni dini ya waarabu. Ndo maana ina tamaduni za kiarabu kwa asilimia kubwa. Kuanzia lugha na mavazi.
Umeongea uwongo mkubwa ndugu yangu,tabia ya mtu, haijumulishi kundi la watuMashehe wengi ni wapenzi wa kula jicho...eti suna
Tofauti na hao wanaofunga ndoa ni usiri(misikiti) na uwazi(makanisa).
Wewe mwabudu Mungu usifuate watu.
Ndio maana nimesema 'wengi' na sijasema 'wote'Umeongea uwongo mkubwa ndugu yangu,tabia ya mtu, haijumulishi kundi la watu
Samahani mkuu sipingi unalosema ila nimeona niliweke sawa.Wewe ni mmoja wa bendera fata upepo.
Muongozo mkuu wa waislamu ni Quran na Sunna.Ushoga pamoja na kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile katika Quran ndio dhambi kubwa kuliko zote katika kipengele cha zinaa.
Utahangaika sana kutafuta reference ambayo haipo kutetea hiyo hoja yako,eti uislamu unahimiza ugaidi?Nenda katafute kwenye Quran na Sunna.
Ni kweli waarabu kipindi wanasambaza uislamu walipigana vita(jihad) kwani wale waabudu sanamu wasingeikubali dini ya MWENYEZI MUNGU bila kwa ncha ya upanga.Currently hakuna Jihad ila wanafalsafa wa kiarabu na hao magaidi wanavisasi na nchi za kimagharibi kwa kuona hawafai kuishi kwa kua hawafuati misingi ya kiislamu kama vile wanawake kuvaa nguo ndefu,kutokunywa pombe,kutozini,n.k
Hivyo kaa ukijua ugaidi haujahimizwa na Mwenyezi Mungu katika uislamu bali ni fikra na mitazamo ya wanadamu wenyewe yaani hao magaidi.Jua kua magaidi sio waislamu kwa sababu katika Quran MWENYEZI MUNGU amesema;ukienda katika nyumba za ibada za wanaowaabudu wengine isipokua Mimi basi waacheni na wala usiwadhuru.Hivyo kujilipua misikitini au makanisani ni kinyume na maagizo ya MWENYEZI MUNGU hivyo mtu anatoka katika uislamu.
Kitu cha kuchekesha sasa 😂😂 utawakuta wasio waislamu wanakuambia uislamu sio dini ya MWENYEZI MUNGU kisa na mkasa eti uislamu ulisambazwa kwa vita na mauaji.Nataka mtu ajibu swali hili ;hivi katika agano la kale MWENYEZI MUNGU alikua anatumia mbinu gani kufanya watu wamuabudu Yeye?Kumbuka Musa alipowaua wana wa Israel baada ya kumuabudu ndama chini ya mlima Sinai.Najua wakristo mtaniletea agano jipya mkisema currently tunaishi under the mercy na eti katika agano la kale Mungu alikua anahasira na hivyo akaona watu hawawez kufata sheria zake akamleta Yesu.Sasa ninyi mnasema Mungu ni Alpha na Omega kwa hiyo mpaka anatoa sheria 10(amri) hakujua mtashindwa)kwa hiyo Mungu alikosea?ALLAH is perfect Sasa wewe fanya uzinzi utegemee Yesu akufutie dhambi zako eti mnasema yeye Mungu.
NAKAZIA:Mungu agano la kale alishasema kila mtu atabeba dhambi zake na Yesu alisema anabeba dhambi zenu.Mungu akosei na wakati anaweka amri alijua Kuna watu watazifata tuu hata wakiwa wachache na hao ndio watakaoingia mbinguni.Sasa ninyi wakristo mnaomfuata Yesu Kama Mungu endeleni kuzini,kunywa pombe,kufanya ushoga,kuingilia wanawake kinyume na maumbile,wizi,uongo n.k kwa sababu Yesu alishafuta dhambi zenu hivyo ninyi ni wambinguni na kukaa sehemu moja na Mungu.Na mwenye akili achague cha kufuata,kama wewe unaamini uzinzi(ushoga,kulaiti,kubaka n.k) bado ni dhambi,kuua bado ni dhambi,uongo bado ni dhambi n.k basi unaamini Yesu hakufa kwa ondoleo la dhambi zako!!!
Mnamuamini mtume Paul ?Mkuu Silimu Uje kwenye Dini ya Haki ya MWENYEZI MUNGU mmoja asiye na mshirika na Tunawaamini mitume na manabii wote na kwamba mtume Muhammad ni mtume na mjumbe wa mwisho wa mwenyezi Mungu kwa Binadamu na viumbe wote na ulimwengu wote na tumewaamini Malaika zake wote na vitabu vyake vitukufu walivyokuja navyo mitume & manabii wake Torati-Nabii Musa ,Zaburi -Nabii Daud ,Injili -Nabii Isa (Yesu) ,Quran Tukufu -Nabii Muhammad Swallalahu walehyi wasalaam Karibu ktk Dini ya Uislam Yaani Amani na Unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu Achana na imani za kutunga za kipagani .Asylam Alyekum Warahmatulahi Ta'ala wabarakaqtu