Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Nimekuuliza nikileta reference utakiri au it wont make any difference?coz if not there is no point of me wasting my time.
Wewe lete reference na Mimi nikuletee reference kwamba Yesu katika biblia amehamasisha na kuleta ugaidi.Ukiniletea pigo zenu za meditation by holy spirit na mimi nitakuletea pigo zangu.
 
KIPI KIFANYIKE NIYO SWALI LA KUJIULIZA......HALAFU MBONA WAHINDI WAMETAWALIWAMIAKAZAII YA WAAFRIKA , MBONA WAO BADOWAPO NA TAMADUNI NA DINI ZAO? WHY SISI?
Kwani sisi tumebadili tamaduni zetu au unakusudia baadhi ya mabadiliko tu? Mfano hata hao wahindi zamani kwenye movie zao tulikuwa hatuoni wakivaa vichupi kama wazungu ila sasa wahindi tunaona wanavaa vichupi na kupigana ma kiss kama wazungu.
 
Ndio maana tunasema dini ni miyeyusho tu ya mzungu kutawala akili za mtu blaki.
Yesu hakuleta dini wala kitabu
Yani kitu ambacho kipo dunia nzima inakuaje unasema kiliundwa kwa ajiri ya waafrika tu?
 
Wewe lete reference na Mimi nikuletee reference kwamba Yesu katika biblia amehamasisha na kuleta ugaidi.Ukiniletea pigo zenu za meditation by holy spirit na mimi nitakuletea pigo zangu.
It seems hutaki kujibu swali langu then lets stop here.
 
It seems hutaki kujibu swali langu then lets stop here.
Ndugu ule msemo "kila muamba ngoma,ngozi huvutia kwake"ni sahihi 💯.By the way mimi ndio nilianza kuuliza swali(rejea post ya nyuma).Wewe uka quote na kuamua kujenga mada nyingine.Kweli bora yaishe hapa maana siwezi share ufahamu na mtu anayejifanya yeye ni sahihi 💯 na kuanza kukosoa na asitake kukosolewa.Jua ya kuwa kama mkristo anayo nguvu ya kukosoa uislamu vilevile muislamu anayo nguvu ya kukosoa ukristo,KARMA.
Ukinikosoa na Mimi ninakukosoa,ukisema uislamu haufai na ukaleta vigezo vyako na Mimi ninasema ukristo haufai na ninaleta vigezo vyangu.Over wajumbe...
 
Kanisa ni jengo tu, imani yako ndio itakayokuponya siku zote soma biblia.
Hilo jengo la kanisa kiimani ni sehemu takatifu maana ni sehemu ambayo watu hukutana kwa ajiri ya Mungu wao.
 
Bado imani za mababu zetu ni bora sana..tangu washikiwe akili na wale waliokuja na meli na majahazi wameharibu kizazi chetu kwa gia zao za ustaarabu..leo hii kufirana sio kitu cha ajabu tena..wamefanikiwa sana kupenyeza propaganda zao chafu.
kumbe mkuu unafirana na kwako ishakua kawaida.
 
Mbona tunatumia vifaa vyenye lugha zisizo za kwetu na kama haitoshi hata huko shuleni tunafundishwa kwa kutumia lugha zisizo za kwetu, leo hii tiba tunazotumia ni za wazungu si zile tiba za asili na kwetu za mitishamba, sasa inakuaje tuone ubaya kwenye imani/dini ndio tuone zimebeba tamaduni za watu wengine?
 
Sababu uliyoitoa ni ya ajabu kwa sababu unaweza kukuta bado unashabikia na kuangalia Chelsea, Liverpool, Arsenal, Man City na Man U wakicheza mpira.
 
Hii ni dini ya waarabu. Ndo maana ina tamaduni za kiarabu kwa asilimia kubwa. Kuanzia lugha na mavazi.
 
Hii ni dini ya waarabu. Ndo maana ina tamaduni za kiarabu kwa asilimia kubwa. Kuanzia lugha na mavazi.
Kwahiyo mkuu ulitaka dini ambayo inatumia lugha ambayo haipo duniani yani lugha ambayo hakuna mwenye kuifahamu?
 
Mashehe wengi ni wapenzi wa kula jicho...eti suna

Tofauti na hao wanaofunga ndoa ni usiri(misikiti) na uwazi(makanisa).

Wewe mwabudu Mungu usifuate watu.
Umeongea uwongo mkubwa ndugu yangu,tabia ya mtu, haijumulishi kundi la watu
 
Samahani mkuu sipingi unalosema ila nimeona niliweke sawa.
Ukristo haukubaliani na maovu yaani uvunjaji wa sheria za Musa (amri kumi za Mungu.) Ila ukristo unatufundisha kuwa hakuna binadamu mwenye haki aliyeweza kumpendeza Mungu kwa kutenda na kuzifuata amri kumi za Musa. Binadamu si mkamilifu ni dhaifu. Kila muda anatenda maovu iwe ni kwa maneno, mawazo au vitendo.
Hatuingii mbinguni kwa matendo isipokuwa kwa Imani ktk Yesu kristo.
Pia usisahau kuwa Imani bila matendo ni imani mfu!
Tumaini la mkristo lipo ktk Kristo.
Mkriso hajafutiwa dhambi ila akitubu na kuungama kwa mwenyezi Mungu kupitia kristo atasamehewa dhambi zake.
Yesu Kristo ktk maandiko anaitwa Mpatanishi
 
Mnamuamini mtume Paul ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…