Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Hinduism ni dini ya kale sana kuliko ukristo, na wahindu wamekuwa wakirithishana vizazi na vizazi kwa kuwa ilikuwa na maandishi.KIPI KIFANYIKE NIYO SWALI LA KUJIULIZA......HALAFU MBONA WAHINDI WAMETAWALIWAMIAKAZAII YA WAAFRIKA , MBONA WAO BADOWAPO NA TAMADUNI NA DINI ZAO? WHY SISI?
Mashehe wengi ni wapenzi wa kula jicho...eti sunaWazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania , wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na sababu nyingine.
Nikiwa mu Anglikana, nilisikitika kwa kitendo cha kanisa langu la Uingereza kufungisha ndoa mashoga, huku wakikataa mtu kuwa na wake wengi, eti ni dhambi.
Wanatetea ndoa za mashoga na kuziita eti ni kielelezo cha haki za binadamu.
Nikaona tusikwazane, yusikerane.
Mungu anapatikana kwenye majumba ya ibada?Mashehe wengi ni wapenzi wa kula jicho...eti suna
Tofauti na hao wanaofunga ndoa ni usiri(misikiti) na uwazi(makanisa).
Wewe mwabudu Mungu usifuate watu.
ApiaNdoa za jinsia moja hazijawahi kufungwa kanisani , huwa zinafungwa serikalini na zinaitwa civil partnership
Zote nilizoziona mitandaoni hata ya Elton JohnApia
Charambe kwa Mbiku, Magengeni, Shule, Maji Matitu, Kwa Mkurugenzi au Charambe ipi? Hawanitishiumechokoza vita na zionists wa Charambe
Hili swali zuri sana,Mungu hapatikani ktk nyumba za ibada pekee,yupo kila mahali.Mungu anapatikana kwenye majumba ya ibada?
duh!!! nimeona hapo kuna mademu wakali kwa pembeni wanafurahia majamaa kwenda kulana vyoo badala wao ndo wangeolewa.Kwamba hili si kanisa?!?!
View attachment 2083561
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
😂😂 Mungu yupo,ila dini haukufikishi kwa MunguView attachment 2083564
Love is my religion
Kama Yesu alijitoa sadaka kwa ajili yetu, kwanini makanisani tulazimishwe kutoa sadaka?Hili swali zuri sana,Mungu hapatikani ktk nyumba za ibada pekee,yupo kila mahali.
Kwa wakristo mwili wako ndilo hekalu ivyo popote Mungu yupo,hakuna ulazima wa kwenda kanisani labda km unataka ukaibiwe hela kwa kudanganywa kuwa ni sadaka
Kwani Mungu anataka wageni wa kumtembelea?😂😂 Mungu yupo,ila dini haukufikishi kwa Mungu
Mbaya sanaduh!!! nimeona hapo kuna mademu wakali kwa pembeni wanafurahia majamaa kwenda kulana vyoo badala wao ndo wangeolewa.
Yani watu wote hapo hadi wachungaji walowafungashia ndoa wanajua kabisa hayo madume yanakwenda kufukuana matope, aisee!!! hatari na nusu.
Zote nilizoziona mitandaoni hata ya Elton John
Yesu ndie kielelzo na mfano wa kufuatwa.Kama Yesu alijitoa sadaka kwa ajili yetu, kwanini makanisani tulazimishwe kutoa sadaka?
Ndio maana tunasema dini ni miyeyusho tu ya mzungu kutawala akili za mtu blaki.Yesu ndie kielelzo na mfano wa kifuatwa.
Na Yesu hajawahi kutoa wala kuomba sadaka.
Ulaya uislamu unakuwa kwa kasi mno kuliko dini nyingine yoyoteLabda anglican bro lakini moto wa injili bado upo n kwa sasa ndio unazidi kukolea mataifa yote