Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Hinduism ni dini ya kale sana kuliko ukristo, na wahindu wamekuwa wakirithishana vizazi na vizazi kwa kuwa ilikuwa na maandishi.KIPI KIFANYIKE NIYO SWALI LA KUJIULIZA......HALAFU MBONA WAHINDI WAMETAWALIWAMIAKAZAII YA WAAFRIKA , MBONA WAO BADOWAPO NA TAMADUNI NA DINI ZAO? WHY SISI?
Mkoa wa Mbeya una makabila ya Wasafwa, Wanyakyusa, Wandali, Wamalila, Wakimbu, Wasangu, Wabungu, Wanyiha, Walambya, Wanyamwanga na mengine mengi, lakini hawaongei lugha moja, pia mila na tamaduni zao ziko tofauti kabisa.
Walipokuja wazungu ikawa ni rahisi kuwatenganisha, kisha kuwaunganisha pamoja chini ya kivuli cha dini.
Dini zetu hazikuwa taasisi imara