Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Ama kweli unaupenda uharufu wa 💩💩💩
 
Mashehe wengi ni wapenzi wa kula jicho...eti suna

Tofauti na hao wanaofunga ndoa ni usiri(misikiti) na uwazi(makanisa).

Wewe mwabudu Mungu usifuate watu.
hivi hiyo kitu huwa ni suna kweli au masighara? na kama ni suna inakuwa vp suna, embu tupe muongozo sheighe.
 
Ama kweli unaupenda uharufu wa [emoji90][emoji90][emoji90]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harufu ya nn? Kupenda kwangu haimaanishi wote wapende, au kutopenda kwako haimaanishi wote wasipende.

Kila mtu afanye vile atakavyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi unaumia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee lazima ni Gilgashi au Myebusi
 
Mambo kama hayo ndiyo yaliyosababisha Malcolm X kufikiri upya kuhusu ukristo, maana mambo mengi maovu viongozi wa dini wanayaacha na hayapewi uzito una stahiki na kanisa linashiriki kusapoti.
 
Ukristo si dini tumia akili yako vyema
 
Kanisa ni jengo tu, imani yako ndio itakayokuponya siku zote soma biblia.
 
Hilo unasema wee, mtoto atakua very proud kuwa na hao wazazi wake.
Kwani wengine wanazaaje, au kuna aina ngapi za uzaaji? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe acha utoto, hata mimi nilipokuwa mtoto asilimia 100% nilijua mwanamke anazalia matakoni.

Nilikuja kugundua ukweli baada ya kuingia darasa la sita kwenye topic ya mfumo wa uzalishaji (reproduction system).

Wewe ni utoto unakusumbua, ukikua ndo utaelewa vzr.
 
Wazungu wametuvurugia maisha yetu asili,ambayo yalikuwa Safi sana.mm huwa sitaki kuskia huu upuuzi wao !!! dini zetu za asili zilitufanya tuwe na upendo,heshima na adabu .
Usihofu jamaa, European race iko ktk stage ya depopulation,,, na iko hivo sababu civilization yao inawapeleka huko,,
Black race iko ktk stage ya +ve population growth,,, in the long run kutatokea natural colonization of Europe

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inafikirisha sana. Mpaka mwisho binafsi naona dini ni sehemu ya utamaduni wa pahala fulani, Kwanini wakatae ndoa za mitara ila wakubali ndoa za jinsia moja. Jibu rahisi kiutamaduni ubeberuni utamaduni wao ni mke na mume mmoja.
Ni lazima na sisi tukubali kuishi kwenye uhalisia wetu. Tuzingatie tamaduni zetu nzuri
 
choko dari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…