Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
325
Reaction score
1,130
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
 
Screenshot_20250221-124946~2.jpg
 
Ukiona bado unamuza baby daddy wa
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
Ukiona unamuwaza bado unateseka tuliza komwe endelea na maisha yako mbona hakuna jipya chin ya juaa
 
Ukiona bado unamuza baby daddy waUkiona unamuwaza bado unateseka tuliza komwe endelea na maisha yako mbona hakuna jipya chin ya juaa
Ata simuwazi ningemuwaza ningemkubalia simuhitaji🤣🤣nafurahia amepata fundisho katika maisha unaweza ukaniona mimi Nina kasoro kumbe unaenda kuchukua mzoga zaidi🤣🤣
 
Back
Top Bottom