Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
Nikiwa na afya njema sijui kama kuna kiumbe naweza kumlilia na kumpigia magoti...bali huwa najihurumia muda nilioupoteza
 
Nafurahi sana taarifa kama hizi, safi sana endelea kumnyoosha
 
Mpe
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
Mpe kazi ya part time.
 
Back
Top Bottom