Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
Usijiroge ukamrudia please
 
Naona

Naona uchawi wako umefanya kazi? Ngoja niende nyumbani itakuwa zamu yako kulia
 
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
usigeuke nyuma utakuwa jiwe
 
Dada nakushauri mtu wa kwanza kukupeleka leba akipiga simu hata usiku wa manane amka umpelekee tamu😋
 
Kama ulichoandika ni kweli, tuna uhakika gani wewe huusiki na matatizo yalompata jamaa, na tuna uhakika gani sio wewe unayemsababisha alilie kurudiana na wewe?

Wanawake walivyojaa iweje asitafute mwingine, alilie kurudiana na wewe?
 
Kwaiyo mi ndo nimesababisha au ye ameshindwa Tena kukaa na uyo mwanamke kwanini ujawaza labda uyo mwanaume ana kasoro anashindwa kuishi na wanawake🤔🤔🤔
 
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
IMG_1018.jpeg

Itakuwa mnafanana tabia
 
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
Hakuna nafasi🤔 unamaanisha kibumbu chako kimeziba🥶😝au?
 
Back
Top Bottom