Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane

Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025 analia yeye kama mtoto Mungu uyu fundi nyie!!!!😅😅😅😅
Una uhakika analia kweli? Aisee tunashukuru kama code hii haijavunjwa bado. Ushauri ndugu mdau, angalia namna mnawezw kulea familia yenu. Siku hizi machozi ya mwanamke au mwanaume ni adimu sana kama ukiwa matured enough unaweza elewa hili.

Kikubwa tunawatakia kila la kheri kwenye malezi ya mtoto wenu.
Wsalaam,
Mjomba wa JF
 
Yupo na mtoto
Kama ni hivyo sawa

Jiweke naye mbali

Ukijichanganya umfungulie miguu, lazima amwagie ndani

Baada ya hapo, unakuwa single Mama with two beautiful babies

Utajikuta unatengeneza mazingira magumu ya kupata Mume wa kukuona
 
10F7E370-74C4-42DA-8C45-B26D33D47EAE.jpeg
 
Mmh, kwa hili povu ulilolitoa hapa ni bado unamtaka, ni vile mawe yamepungua
 
Mmh, kwa hili povu ulilolitoa hapa ni bado unamtaka, ni vile mawe yamepungua
Mmh ujui mi saiz nipo na mwanaume mwingin ni job mate uyo ba mtoto yupo mkoa tofaut kabisa sina ata mda ujui tu
 
Back
Top Bottom