Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Na mie naomba skolashipu mkuu.
Ya namna gan?
Ada ya shule kaka.
Thank GOD! At last you are free and kicking! Wasukuma wamekupa uhuru? Hureee!!! I hope ulipata michango yetu ya nauli.
Heri ya mwaka mpya Nicas Mtei.
Ulipitiliza kula bata
Hahahaha. Sasa mishe zmekwshaga. Michango bado inaendelea.. Heri ya mwaka mpya nawe pia Arushaone
Shule gan?
King'asti kwa umri wako hakuna mwalimu atakayekubali kukufundisha! Endelea kula bata mpaka kuku waone wivu (kwanini hawaliwi wao). Enjoy your weekend though.
hahaha ladyfurahia umesononeka sana mimi kuficha sura yangu .....kuniona live tokelezea siku ya white Party...kama utamuona chalii anafyonza casltle lager kwa mtindo wa kupiga tarumbeta....aliyetupia suruali ya jeans na black t-shirt yenye maandishi "I'M HERE 4U" juwa ni mimi.bora ya wewe uliyeamua kutuonesha sura yako kwani mwenzio kadoda11 ametoa kali ya mwaka eti anasema anauza sura ile kuingia tu ndani ya jumba hakuna lolote la kuuza sura si bora akapake rangi ya kiboko mwili mzima bora best weewe mwaya ila umeniuzi hujaniambia kwamba umekuja Nicas Mtei