Niliadimika humu. Sasa narejea. Tukutane White Party.

Niliadimika humu. Sasa narejea. Tukutane White Party.

sitaweza kukaa na mtu anayekunywa pombe hivi ujajua kuwa mie ni mama paroko ndg yangu? kadoda11
 
Last edited by a moderator:
sitaweza kukaa na mtu anayekunywa pombe hivi ujajua kuwa mie ni mama paroko ndg yangu? kadoda11
....ukinigundua ndio mimi nisalime/tusalimiane then kiustarabu kaa mbali ili mimi niendelee na starehe/bata yangu ya kulainisha koo.au siyo ladyfurahia.
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe kwani kuna ugumu gani kuniambia kuwa umerudi mpaka utoe post ndipo niione humu jamvini laikini umeshindwaje? haya kama mambo yenyewe ndo haya nimekushindwa mie Nicas Mtei

Ningesemea wapi zaidi ya humu JF?
 
Last edited by a moderator:
bora ya wewe uliyeamua kutuonesha sura yako kwani mwenzio kadoda11 ametoa kali ya mwaka eti anasema anauza sura ile kuingia tu ndani ya jumba hakuna lolote la kuuza sura si bora akapake rangi ya kiboko mwili mzima bora best weewe mwaya ila umeniuzi hujaniambia kwamba umekuja Nicas Mtei


hyo sio sura yangu. Nime i google tu.
 
Last edited by a moderator:
MEMKWA kaka mkuu.

umeanza wivu wako. Memkwa wanakubali umri wowote, mbona mzee wa kenya alianza std one akiwa 70+
Bata wanakinaisha nao, usisikie!

sawa King'asti. 2taongea zaid cku ya White Party
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena mkuu, ila huyo bwana alochukua mkopo kwa ajili ya party anatisha kinyama!
 
hahaha ladyfurahia umesononeka sana mimi kuficha sura yangu .....kuniona live tokelezea siku ya white Party...kama utamuona chalii anafyonza casltle lager kwa mtindo wa kupiga tarumbeta....aliyetupia suruali ya jeans na black t-shirt yenye maandishi "I'M HERE 4U" juwa ni mimi.

Dalili za kuuziwa mtu mbuzi kwenye gunia siku hiyo ya White Party,wallah tena.
 
heee! kumbe Marry Hunbig ni mlolkole sikujua karibu katika kanisa langu pale ................ uparokiani mm ni mama paroko wa pale Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom