Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
kwanini unajilazimisha kutokuamini kuwa huyu anaye post hapa ndio huyo kadoda11 ktk picha?na ndio huyo utakaye muona white party... ladyfurahia seeing is believing.
Baada ya kutingwa na mishemishe za kufunga mwaka 2012 na kufungua mwaka 2013 kwa mambo kadha wa kadha sasa narejea jamvini.
Wale wandugu wa Dari salama na maeneo ya jirani jamani tukutane Kebby's tarehe 26 mwezi huu ili tufahamiane kwa kuonana na kubadlishana idea..
Itakuwa ni jambo la kufurahsha sana... Tayari Bishanga amechukua mkopo bank kwa ajili ya kutumia siku hyo 1 tu. Amedai atakodi hell copter mpaka hotelini.. Naambiwa kuwa siku hyo patakuwa na wageni kadhaa kutoka A City{Arachuga} kwa ajil ya kunogesha party hiyo. Pia Babu ODM A.K.A Asprin atapata fursa ya kuungana na wake zake wote pamoja na vimada{Idadi haijulikani}. Siku hyo ndipo atafanya ukaguzi wa wazi kwa wageni...
DO NOT DARE TO MISS THIS EVENT.
Nitafute hewani.
Ahaaaaaa kumbeeeeeh!!!!Poa,si uje Home bhana.
Kuna Ki-Party cha kiushkaji kama kile cha siku ile.
ladyfurahia shost, mwambie akutumie Laki mbili kabisa ili hata kama asipotokea huyo kadoda11 ujue pa kuanzia.
Mimi niko tayari kukupokelea hyo hela.
Poa,si uje Home bhana.
Kuna Ki-Party cha kiushkaji kama kile cha siku ile.
Nicas Mtei,naomba nilipie basi!!
Poa,si uje Home bhana.
Kuna Ki-Party cha kiushkaji kama kile cha siku ile.
😕 😕 😕