hahaha...kizuri kula na nduguyo kaka mkubwa, ngoja nami nitajaribu kuja pande hiyo one time nione hizo raha za Mwanza Mwanza!!!
hahaha...kizuri kula na nduguyo kaka mkubwa, ngoja nami nitajaribu kuja pande hiyo one time nione hizo raha za Mwanza Mwanza!!!
Nimefurahi.......See you on 26th
Karibu sana daddy angu!!!!
Ntafurahijeeeee?????
karibu sana mkuu. Hautajuta.
Nikipata wasaa nitakuja maeneo hayo wapendwa wala msijali...
Ila kwa kuanzia naamini wiki ijayo katika Sherehe Nyeupe tutakuwa sote!!!
Pamoja sana ila ila ngoja badae nitaludi.