Niliadimika humu. Sasa narejea. Tukutane White Party.

haa! sasa nimekumbuka na nimekuona vizuri kabisa sio wewe niliangalia vibaya

wewe una..................... yangu umeshindwaje kuniambia lakini? acha nisiongee sana nisijeleta matatizo humu jf ikizingatiwa kuwa Mentor hajui na nisingependa hajue kabisa. wakaribishwa dar
 
Last edited by a moderator:
oky acha nikubali ingawaje Madame B amenitaadhalisha kuhusu wewe

siku njema
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha welcome back!
Bishanga atatisha sana!
Alaf babu Asprin ntamtafutia msaidizi ili asichoke siku hiyo!
 
Last edited by a moderator:
welcome...glad to have you back kwa CC
 
ahsante watu8. Mwanza patamu

hahaha...kizuri kula na nduguyo kaka mkubwa, ngoja nami nitajaribu kuja pande hiyo one time nione hizo raha za Mwanza Mwanza!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…