Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Huenda mbele pale anaweka two star general
 
Nissan huzijui.kuwa mpole time will tell. Itatufanya uchukue mkopo bank au uliache porini. Nissan ni mziki mkubwa, hata spear zake kuzipata ni shida.
Unamiliki Nissan ya aina gani na unaimiliki kwa miaka mingapi mpka sasa..?
Tufafanulie kidogo huo mziki mnene wa Nissan uko wapi..?

VW,Benz,BMW watu wameziweka barabarani miaka na miaka, ndiyo Nissan ije kushinda watu..?
 
Kabisaa mkuu...
 
Nakubali.
 
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea
Mimi ndio kiboko cha V8. Naendesha Mercedes S Class. Top Speed 320. Engine 5L. Nikikupita usijaribu kuleta ligi, utapasua engine ya gari yako.Kwa kumalizia gari yangu ina number za kibalozi, kwa hiyo sehemu mnapotembea 50km/hr mimi natembeaga 100km/hr.

Hii gari naifaidi njia ya Arusha - Singida. Huwa naivuta na kuchezea 200-280km/hr. Barabara zilizobaki huwa nachezea 180-200.
 
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea

[emoji23][emoji23][emoji23]hizo ndinga ni kwere asee
 
Saluti kwako mkuu, bahati mbaya huwa hatukutani nazo za hivyo, mpo 1 in a million. Ila imekuwaje gari yako binafsi ina namba za kibalozi?
 
Saluti kwako mkuu, bahati mbaya huwa hatukutani nazo za hivyo, mpo 1 in a million. Ila imekuwaje gari yako binafsi ina namba za kibalozi?
1.wabunge na baadhi ya watumishi wa eac huwa wanatumia namba za kibalozi
2.wafanyakazi wa ubalozi na un wana 'utaratibu' fulani wa kusajili 'magari yao' kwa namba za kazini kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…