In short ni kwamba,Nissan dualis haiwezi ku perform better than crown in any way possible.In practice or Even in a theoretical way-Nissan dualis haiwez kuwa na muscle za kupambana na Nissan patrol-Any logical person atakushangaa based on your arguments.
Based on the distance between Dar & Singida,kuweza kucover hyo distance inahitaji a constant speed of not less than 100km/hr plus ambayo kwa mchana its nearly impossible unless unaendeshea kwenye barabara za Ulaya.
Kama ulitumia 100'000 out of 150'000 it means ulisimamishwa sana road na traffic na maongezi ya kuhonga yalikuwepo ambayo infact ni sehemu ya kupoteza muda,achilia mbali ubovu wa barabara na jam ndogondogo barabaran,Swali ni Je,Ulikuwa unawarushia traffic hela hewan bila kusimama ili usipoteze muda njiani na kuweza ku maintain hiyo 100+km/hr?
In practice-unachokiongelea ni habari za kufikirika kwa yeyote mwenye akili timamu,How on earth dualis limekuwa a muscular can on the road? 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁