Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Umenisahau shabiki wa VW ambapo hata BMW anakatwa kasimama wakati kafuta kisahani cha 260
View attachment 1831188
Ni swala la Hp na top speed.

Gari yenye top speed ya 300kph na 320hp lazima iipite gari yenye top speed ya 260kph na 250hp.

Simple maths.

Ila humohumo BMW kuna midude inachomoka hakuna gari yeyote kwenye VW lineup inazikuta. Labda zikafanyiwe stage 4 tuning.
 
Mwingine huyu. Kwa hiyo siku ukiendesha Murano utatongozwa sio?
Mimi mmojawapo gari za Nissan km Murano, x-trial hata unambie niendeshe na Tinted SIIENDESHI bora nitembee kwa miguu au Bajaj
Mwanamume lazima ujisikie unapoanza safari za cross country Mtwara Bukoba, Mbeya Moshi ukikaa kwenye siti umekaa.
Lakini hizi gari za kwenda Kanisani, sokoni au kitchen party ni Mama aniendeshe au nijipumzikie aende na watoto km ni lake, la sivyo nitaliuza
 
Sasa tatizo lako ni uwezo wa gari katika safari ndefu au kupata hisia za kike ukiwa unatumia aina hiyo ya gari?
 
Kwa mara ya kwanza UNAANDIKA points
 
a.k.a unaweza sema gari zinye mans looks.. muonekano wa kiume
 
Yani we dume zima ukaenda kununua Murano aisee [emoji28][emoji28][emoji28] ulifeli kwa hakika ile gari imekaa kimanzi purely. Yani gari ya kimama mno mzee baba unaonekana umevaa sketi na wigi ukishuka kwenye Murano!
Ongeza na ist, nadia na harrier tako la nyani. Ni magari yanayowapendezea zaidi dada/mama/wake/shangazi zetu wakiyakalia[emoji851][emoji851]
 
Kwahio mzee baba we unaendesha gari gani?
 
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea
Vx v8 ipi 100 series au 200 af injini ipi 2uz au vdj
 
We jamaa atleast Kuna neno umeongea Lina sanse unashindana na gar za class moja au Mimi nishawah shuudia vx 100 series yenze 2uz v8 engine inakatwa na Hilux d4d
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…