Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dualis anaipita croun jamaa mi gx110 hunipiti na dualis maisha maana mi mtu wa ligi kinouma
Hahahah mzee GX110 hua nazikata kinoma mzee..na Mnyama SXE10😁😁😁
 
Mtu kujisifu kukimbizana mabarabarani huko ni kituko hasa.
Tulioponea chupuchupu tukarudi duniani kwa kudra za Mungu tunakwambia ongeza mwendo tu.
Iko siku,
wenzio hata leo ukiuliza mke wangu nani ntamuuliza 'eti mwanjaa wewe unaitwaje vile? kama mzee Mwinyi.
 
Kwani hiyo ajali ilitokea wapi???😳
 
Sie tumepita hapo Msamvu muda si mrefu tumekuta Dualis ipo mtaroni nikajua ni yeye
 
Mimi Dar ni either tarehe 20 au 21, mimi natokea kyela..mara nyingi moro napita night kimtindo...
Piga mdogomdogo tu unafika kilaini,sio mambio yasio na msingi wakati huwahi abiria.
Kyela-Dar siku 2.
Unazima Iringa siku inayofata unaamsha Dar mchana ushafika.
 
Kilizo yangu inaanza kuanzia next week ila bado haijaidhinshwa
Sie tuliopo porini huku hua kuna off za kimtindo unaweza ukachomoka wiki nzima kula misele mjini bila kuidhinishiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…