Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Hapa unazungumzia Subaru Forester XT ?
 
Ipo barabarani mkuu mafuta ni kweli haina na ni manua 6 speed gearbox .ni nzima kabisa hyo gari haina tatizo safari popote kama una gari yako ya uhakika ifate
hii gari Nissan Subi. STI nimeitafuta yenye gear 6 hata nijue cc zake za kupita barabara zetu za bumps sijaipata kote, labda nipe cc na kapicha tu

nasema hivyo kwa sababu nimeiona gari yako kwenye dashboard tu inavibrate km ipo juu ya vigogo gereji kumbe unaelekea kituo cha mafuta, nakuja nawatafuta sana Nissan maana siwakubali popote
ona mnyama Mark X unavyotulia barabarani Moro Dom Singida
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu embu waulize wanaomiliki subaru impreza sti.wakupe sifa za hi gari maana unaichukulia poa
 
Sasa boss unabisha wakati mimi ndio dereva
muebrania wewe ni kiboko, maana madereva wazoefu wa hiyo barabara kwa mchana mkali hawawezi kufika Singida kwa muda huko, kuna vizuizi kibao bumps 50kmp/h road block km za Dumila Gairo Kintikunk, bado barabara ni mbovu si mkeka.
ungekuwa ulitembea usiku na gari za serikali labda
 
V8 za kawaida 4.5L huwa ni 267 au 269hp kwa uzito ule hamna maajabu ni body ndo tishio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…