Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Hapa unazungumzia Subaru Forester XT ?
 
Ipo barabarani mkuu mafuta ni kweli haina na ni manua 6 speed gearbox .ni nzima kabisa hyo gari haina tatizo safari popote kama una gari yako ya uhakika ifate
hii gari Nissan Subi. STI nimeitafuta yenye gear 6 hata nijue cc zake za kupita barabara zetu za bumps sijaipata kote, labda nipe cc na kapicha tu
1607429707362.png

nasema hivyo kwa sababu nimeiona gari yako kwenye dashboard tu inavibrate km ipo juu ya vigogo gereji kumbe unaelekea kituo cha mafuta, nakuja nawatafuta sana Nissan maana siwakubali popote
ona mnyama Mark X unavyotulia barabarani Moro Dom Singida
 
hii gari Nissan Subi. STI nimeitafuta yenye gear 6 hata nijue cc zake za kupita barabara zetu za bumps sijaipata kote, labda nipe cc na kapicha tu
View attachment 1644632
nasema hivyo kwa sababu nimeiona gari yako kwenye dashboard tu inavibrate km ipo juu ya vigogo gereji kumbe unaelekea kituo cha mafuta, nakuja nawatafuta sana Nissan maana siwakubali popote
ona mnyama Mark X unavyotulia barabarani Moro Dom Singida
View attachment 1644635
Mkuu embu waulize wanaomiliki subaru impreza sti.wakupe sifa za hi gari maana unaichukulia poa
 
Sasa boss unabisha wakati mimi ndio dereva
muebrania wewe ni kiboko, maana madereva wazoefu wa hiyo barabara kwa mchana mkali hawawezi kufika Singida kwa muda huko, kuna vizuizi kibao bumps 50kmp/h road block km za Dumila Gairo Kintikunk, bado barabara ni mbovu si mkeka.
ungekuwa ulitembea usiku na gari za serikali labda
 
Audi mliokuwa nayo inawezekana ina horses ndogo sana, probably chini ya 200hp. Wakati LC 200 VX V8 ana 300hp na kuendelea. Lazima awanyanyase.

Mngekuwa na Audi yenye 400hp na kuendelea lazima mngemsumbua huyo jamaa.

Ila hizo VX V8 zikikutana na wababe wenzao wanakuwa wapole tu.
V8 za kawaida 4.5L huwa ni 267 au 269hp kwa uzito ule hamna maajabu ni body ndo tishio
 
Back
Top Bottom