Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Cheki video moja jamaa wa audi r8 akisumbuana na 1l bike kulikuwa na yamaha R1 nahisi na honda cbr 1000 ....ile audi iko njema wanamwagika sana

Au cheki video za ule uwanja nurbugring ni hatar
 
Koda moja 30000 kwa matatu utakatwa 90000 na manne no 120,000 sasa sijui no yupi umemalizana na hiyo 10,000
 
Cheki video moja jamaa wa audi r8 akisumbuana na 1l bike kulikuwa na yamaha R1 nahisi na honda cbr 1000 ....ile audi iko njema wanamwagika sana

Au cheki video za ule uwanja nurbugring ni hatar
Sijawahi ona pikipiki inakimbia kama Kawasaki Ninja h2h.
 
Cc sio sababu pekee ya gari kukimbia.

CC sio sababu ila Dualis hawezi kumuacha Vanguard. 2AZ ina nguvu sana, angalau kwenye Vanguard naweza kushuhudia, na gearbox yake gia 7 si mchezo
 
CC sio sababu ila Dualis hawezi kumuacha Vanguard. 2AZ ina nguvu sana, angalau kwenye Vanguard naweza kushuhudia, na gearbox yake gia 7 si mchezo
Kuna watu wengine wamejiwekea limit ya speed wanayoendesha maana wana uelewa wa hali zao na magari yao pia. Hivyo kuna wakati we unaweza kumuwekea ligi mtu ambaye yeye hana habari hizo.
 
Asee hii generation ya 3 iko poa sana
 
Mkuu hiyo HZ 4.2 L nenda kimahesabu usishabikie magari yajue na kuyaelewa.
 
Babu hii M5 4.4L V8 ina 523 HP hakuna bwiga yoyote mwny landcruiser ataekushika ukinyosha goti....

Hongera mkuu mana bei ya hyo kitu used tu inaeza fika milion 200 kuileta bongo

Kwanza hiyo gari bongo ipo?? M5 nyingi bongo sio V8..nyingi Cc 2500 engine ya kawaida saana..bongo ata nne V8 hazifiki.
 
Kwanza hiyo gari bongo ipo?? M5 nyingi bongo sio V8..nyingi Cc 2500 engine ya kawaida saana..bongo ata nne V8 hazifiki.
Hapa huyu mwanaume alikuwa amechill taliban naona mkuu wa wapi tukurushe huku tulipo uyajue magari kidogo bongo nyoso hii hii[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…