Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Wapi picha, mtaalamu kutoka ufipa napatikana.
 
duh hatar sana,kumbe nimegundua martial arts ni lifestyle anatakiwa tangu mtu yuko mtoto aanze kuandaliwa yaani ni mfano kama dini.
Sasa kwa sisi ambao tumeshaota midevu na tuna majukumu ndio tunataka tuanze kujifunza,tutaambulia kitu kweli?
Kwa self defence unaweza sana tu mkuu, ila ukitaka kufanya ile kitu inaitwa "my body is my weapon" kidogo ina changamoto kimtindo.
 
kwa self defence unaweza sana tu mkuu, ila ukitaka kufanya ile kitu inaitwa "my body is my weapon" kidogo ina changamoto kimtindo.
Kwa mfano nikiwa bize na kazi nikaamua nikipata likizo ya mwezi mmoja ndio niende kwenye hayo mafunzo inatosha?
 
kwa mfano nikiwa bize na kazi nikaamua nikipata likizo ya mwezi mmoja ndio niende kwenye hayo mafunzo inatosha?
Ukimpata mwalimu mzuri, ukawa tayari inawezekana japo kubali maumivu kimtindo.
 
maumivu gani tena mkuu?
Haya mambo yanahitaji uvumilivu na ujasiri wa hali ya juu hasa katika kipindi cha mwanzo unachokuwa empty since utakutana na physical training heavy ili kuuandaa mwili na yaliyopo mbele yake.
 
Sawa mkuu nimekupata
haya mambo yanahitaji uvumilivu na ujasiri wa hali ya juu hasa katika kipindi cha mwanzo unachokuwa empty since utakutana na physical training heavy ili kuuandaa mwili na yaliyopo mbele yake.
 
Ni kweli..sugu inatakiwa iwe kwenye moyo na sio vidoleni.
 
Miaka hiyo nilikuwa na knuckles hadi konda nikimpa nauli ananirudishia..Ila niliacha kuzitumia napiga pushups kawaida na zimefutika taratibu.
 
 
Na hatutumii neno kupiga..tunasema kujilinda au kujihami..kupiga kunakuja kama sehemu ya kujihami.
 
Dah sasa kama inazuiliwa kupigana kumbe hakuna raha yoyote kuwa martial arts.
Kuna faida gani sasa?
Raha sana..mwonekano wako,tabia na matendo yako yanakufanya uwe mbali sana na vitendo na watu wenye vurugu.Yaani unaepushwa kwa mbali sana na hayo mambo.
 
Mimi nilitegemea ukiwa martial arts inabidi uwe karibu na watu ili atakayejifanya mjuaji umfundishe adabu.

Kwa sababu mimi sio martial arts na niko mbali na watu,hii kukaa mbali na watu inaniepusha na vurugu.

Sasa kuna utofauti gani kati yangu mimi na wewe ambaye ni martial arts?
Raha sana..mwonekano wako,tabia na matendo yako yanakufanya uwe mbali sana na vitendo na watu wenye vurugu.Yaani unaepushwa kwa mbali sana na hayo mambo.
 
Hapo bwana mdogo nimebakiza red belt Kisha black belt na red belt bado mtihani nasubir muda wote chama kikija kupasisha nivae red [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Mkuu nawe unataka kutoka kwenye misingi ya Karateka..achaa kuzarau watu na kujikweza ...wajibu tu kawaida.
 
Kwa mfano nikiwa bize na kazi nikaamua nikipata likizo ya mwezi mmoja ndio niende kwenye hayo mafunzo inatosha?
Haitoshi Mkuu..karate sio kama mafunzo ya vitu vingine kwamba baada ya miezi fulani unamaliza. Karate ni maisha..lazima ule au upate hewa kila mara ili uishi..au Dini lazima usali sala tano au kila jumapili ili uende peponi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]una mbwembwe wewe jamaa.
anyway nilimaanisha kupata basics sio kuimaliza yote
Haitoshi Mkuu..karate sio kama mafunzo ya vitu vingine kwamba baada ya miezi fulani unamaliza. Karate ni maisha..lazima ule au upate hewa kila mara ili uishi..au Dini lazima usali sala tano au kila jumapili ili uende peponi.
 
Nifundishe mkuu, upo mkoa gani?
 
Martial arts Ni Kama mafundisho ya kidini ukiiyacha nayo inakuacha Martial arts Ni ibada Martial arts Ni iman utakapo cheza na iman yeyote itakufanya vibaya.usijaribu iman usio iweza Mana itakufanya vibaya na uta aibika
 
Nakushauri jifunze self defense mwamba najivunia naweza enda sehemu yeyote na muda wowote uje na lifimbo,panga,shoka nakuvibua tu nacheza shotokan brown belt now[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Vipi mtu akija na cha moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…