Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Mada inajieleza,huo mchezo mjomba wangu alikuwa ni master huko china zaidi ya miaka 30.aliporudi Tz akaanza kunifundisha nikiwa na miaka 5 mpaka miaka 27 na Sasa nina miaka 30 hakuna kitu nisichokijua kwenye karate nimepiga wengi wanaojiita master na sijui kumchokoza mtu ukinichoza najaribu kuepuka ugomvi.

Tatizo langu nahitaji kumaliza usugu kwenye vidole vya mkono wangu,maana inanipa shida na imewahi kunipa kesi uzuri nafanya kazi pendwa na halali kwa hiyo kunitia shaka ni vigumu.

Ni kipodozi gani itanifaa kutoa huu usugu,mda mwingi navaa gloves za nguo.
Wapi picha, mtaalamu kutoka ufipa napatikana.
 
duh hatar sana,kumbe nimegundua martial arts ni lifestyle anatakiwa tangu mtu yuko mtoto aanze kuandaliwa yaani ni mfano kama dini.
Sasa kwa sisi ambao tumeshaota midevu na tuna majukumu ndio tunataka tuanze kujifunza,tutaambulia kitu kweli?
Kwa self defence unaweza sana tu mkuu, ila ukitaka kufanya ile kitu inaitwa "my body is my weapon" kidogo ina changamoto kimtindo.
 
kwa self defence unaweza sana tu mkuu, ila ukitaka kufanya ile kitu inaitwa "my body is my weapon" kidogo ina changamoto kimtindo.
Kwa mfano nikiwa bize na kazi nikaamua nikipata likizo ya mwezi mmoja ndio niende kwenye hayo mafunzo inatosha?
 
maumivu gani tena mkuu?
Haya mambo yanahitaji uvumilivu na ujasiri wa hali ya juu hasa katika kipindi cha mwanzo unachokuwa empty since utakutana na physical training heavy ili kuuandaa mwili na yaliyopo mbele yake.
 
We Ni mshamba, unaanzaje kutengeneza sugu? Watu wanapiga karate na martial arts nyingi lakini unaweza usibaini kuwa Ni mtaalamu, shida mnafanya tizi za vichochoroni ( kukaanga mchanga wa Moto[emoji23])

Cha msingi anza kupaka glicerine na uanze kuvaa gloves ukiwa unapasha tizi hasa punching.
Ni kweli..sugu inatakiwa iwe kwenye moyo na sio vidoleni.
 
Mkuu Nina miaka mingi napiga push up ila Sina nakos Ila miaka ya zamani bila kuwa na nakos hujaonekana umeiva ndio maana weng wakawa wanatafuta kwa kutumia kokoto zikiwa ndani ya Moto,mchanga,na kupiga punch bag zilizojaa mawe ili kuua seli zilizo katika vidole na kutengeza usugu huo
Miaka hiyo nilikuwa na knuckles hadi konda nikimpa nauli ananirudishia..Ila niliacha kuzitumia napiga pushups kawaida na zimefutika taratibu.
 
Dah! Ningekuwa Mimi walahi wangekoma watu!.. hakuna Cha kufuta sugu wala nini atakae nichokoza lazima ataniambia ikitoka herufi Z inafuata herufi gani!!.. alasivyo namng'oa mimeno yale ya uwalazani Bata kabisa!.. mi siwezi jisumbua kufuta sugu..[emoji28][/QUOTENdio maana mungu hakukupa uwezo wa kuujua mchezo huo maana ungenyanyasa watu
 
Kuna kitu tunaita nidhamu, ukiachilia mbali nidhamu pia ukija kisheria ya nchi yeyote martial artists huwa wanachukuliwa kama silaha (mwili wa martial artist yeyote ni leaving weapon kutokana na alivyo u condition kwa mazoezi makali na uelewa mkubwa wa sehemu dhaifu kwenye mwili wa binadamu) sasa ikatokea umepiga mtu hata kwa kosa linalo epukika , unikamatwa ukafikishwa mahakamani huwa hawana cha kuuliza mara mbili hali ya kuwa aliyekuchokoza alikuwa hana silaha ujue lazima fine ikuhusu.

Kingine ni kuwa sheria huwa inaangalia pia na idadi ya watu waliokuchokoza na silaha zao mfano karateka mkoja mwenye black belt akipigana na mtu mmoja au wawili au watatu kwa kosa la kijinga tu tena wakiwa hawana silaha jua ,kosa ni la karateka na si la hao watu watatu.

At leats uanze kupigana na watu 10 wasio na silaha utasikilizwa ( kwa maana hata hivyo itakuwa sio kupigana bali kupiga). Na ndiyo maana kuna comittees nyingi tu ambazo ni halali kabisa kuekana sawa martial artists ,[emoji23] unaenda unapigwa au kupiga saaafi kabisa no stress no case.
Na hatutumii neno kupiga..tunasema kujilinda au kujihami..kupiga kunakuja kama sehemu ya kujihami.
 
Dah sasa kama inazuiliwa kupigana kumbe hakuna raha yoyote kuwa martial arts.
Kuna faida gani sasa?
Raha sana..mwonekano wako,tabia na matendo yako yanakufanya uwe mbali sana na vitendo na watu wenye vurugu.Yaani unaepushwa kwa mbali sana na hayo mambo.
 
Mimi nilitegemea ukiwa martial arts inabidi uwe karibu na watu ili atakayejifanya mjuaji umfundishe adabu.

Kwa sababu mimi sio martial arts na niko mbali na watu,hii kukaa mbali na watu inaniepusha na vurugu.

Sasa kuna utofauti gani kati yangu mimi na wewe ambaye ni martial arts?
Raha sana..mwonekano wako,tabia na matendo yako yanakufanya uwe mbali sana na vitendo na watu wenye vurugu.Yaani unaepushwa kwa mbali sana na hayo mambo.
 
Hapo bwana mdogo nimebakiza red belt Kisha black belt na red belt bado mtihani nasubir muda wote chama kikija kupasisha nivae red [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Mkuu nawe unataka kutoka kwenye misingi ya Karateka..achaa kuzarau watu na kujikweza ...wajibu tu kawaida.
 
Kwa mfano nikiwa bize na kazi nikaamua nikipata likizo ya mwezi mmoja ndio niende kwenye hayo mafunzo inatosha?
Haitoshi Mkuu..karate sio kama mafunzo ya vitu vingine kwamba baada ya miezi fulani unamaliza. Karate ni maisha..lazima ule au upate hewa kila mara ili uishi..au Dini lazima usali sala tano au kila jumapili ili uende peponi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]una mbwembwe wewe jamaa.
anyway nilimaanisha kupata basics sio kuimaliza yote
Haitoshi Mkuu..karate sio kama mafunzo ya vitu vingine kwamba baada ya miezi fulani unamaliza. Karate ni maisha..lazima ule au upate hewa kila mara ili uishi..au Dini lazima usali sala tano au kila jumapili ili uende peponi.
 
Mkuu kumbuka mi sijafundisha karate za mtaani ,master wangu alikuwa ni mjomba wangu na yeye ndo alikuwa ananielekeza ,nimeivaa Sana kwenye huo mchezo,na vigumu sana mimi kuhombana na mtu na ikitokea huwa naonya tu maana nikipiga madhara yake ni makubwa sana na mjomba alifundisha kuvunja inapotekea mimi kuzindiwa na hapo ndo kuna ukali wangu ila kuweka mwili sawa na kutafuta nguvu za mkono na huwa push up ndo ilisababisha usugu huu.nimejifunza karate na hakuna nisichokijua ndo ya huo mchezo
Nifundishe mkuu, upo mkoa gani?
 
Martial arts Ni Kama mafundisho ya kidini ukiiyacha nayo inakuacha Martial arts Ni ibada Martial arts Ni iman utakapo cheza na iman yeyote itakufanya vibaya.usijaribu iman usio iweza Mana itakufanya vibaya na uta aibika
 
Nakushauri jifunze self defense mwamba najivunia naweza enda sehemu yeyote na muda wowote uje na lifimbo,panga,shoka nakuvibua tu nacheza shotokan brown belt now[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Vipi mtu akija na cha moto?
 
Back
Top Bottom