Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo)

Hatua ni moja tu aliyofikia mwanamke aliyetokwa damu kwa miaka 12 (Marko 12:25-34), aliamua kwenda kwa Yesu. Zipo nyakati tunafika hatuwezi kupata suluhisho wala majibu isipokuwa kurudi kwa Mungu kupitia Yesu Kristo, Mathayo 12:28.
 
Pole Sana Mkuu .

Nafikiri utapona sasa be grateful.
 
Hiyo issue yako sio ya kiroho ni ya saikolojia.

Kikawaida Afya ya mwili huwa inaweza kuathiri afya ya akili na vise versa yake.

Nafikiri ili kupona tafuta Kwanza Mwanasaikolojia then uanze tiba ya akili na kisha urudi hosptali kutibu huo mwili.

Usiende kwa Mganga wa manabii , ikiwa you believe in God keep praying endelea kuomba .


MTU yeyote ambaye ameumwa ugonjwa ambao hauponi , kupitia hali Kama yako ni kawaida .


Mimi mwenyewe nina Aunt young , she is still going through the same situation , Ila yeye anaamini she is witched , so every week anaenda makanisani , misikitini Ila haponi but all I know ni Saikolojia imevurugika .


I hope you shall overcome , I pray for you .
 
Asante sana na Mungu aendelee kujutia moyo wa aina huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…