Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.

2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.

2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]

Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira [emoji28]
 
Wewe utakua na tatizo kichwani ile penati ili kua ya kupewa kweli au hujui mpira
 
Kwa hiyo kipa wa Croatia kumchezea faulo Alvarez nayo ilipangwa na FIFA?

Mkimbio wa Alvarez kuanzia katikati ya uwanja hadi goal nayo imekuwa sponsored by FIFA???
 
Penalty ni Halali kabisa , kipa alishindwa kugusa mpira , akamgusa mchezaji , angeeanza kugusa mpira kabla ya mchezaji isingekuwa penalty , haya mmefungwa la tatu huko
Aliokosa mpira akawa amepiga makofi kama anaua mbu na kucheza faulo 🤣
 
Hili kombe nmeacha kuangalia zamani tu, limejaa harufu ya rushwa. Hata sasahiv sifuatilii kabisa kinachoendelea huko.

Toka kupiga kura za muandaaji watu wa ndani kabisa wanasena kulitembezwa rushwa balaa na hao waarabu
Wa ndani wewe huko sitimbii uliwaonea wapiii?? Acheni uzushii
 
Sasa issue nani anapiga penalt au Argentina kupewa Argentina?
 
Rudi usome kanuni na sheria za kutolewa penalty
 
Wa ndani wewe huko sitimbii uliwaonea wapiii?? Acheni uzushii
Sawa dada, nikuletee nini nikitoka sitimbii?

Lkn nadhan ulisikia official news kina sepp blatter na official wengine wa FIFA wakilalamika khs hio issue. Sitimbii wanakusalimia sana lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…