Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

MESSI DAWA YAKE DOGO KYLIAN E MBAPPE MTU MKAZI UTAONA LEO WAMOROCCO WANAVYOKIMBIZWA ....WAINGEREZA WANAMUELEWA KYLE WALKER ALIKOMA SIKU ILE
 
MESSI DAWA YAKE DOGO KYLIAN E MBAPPE MTU MKAZI UTAONA LEO WAMOROCCO WANAVYOKIMBIZWA ....WAINGEREZA WANAMUELEWA KYLE WALKER ALIKOMA SIKU ILE
Mbappe akomae kwanza kufikia level za Halaand.

Viatu vya Messi na Ronaldo hawezi hata kuvigusa, achilia mbali kuvivaa!
 
Dah wewe kweli huju
Mbappe akomae kwanza kufikia level za Halaand.

Viatu vya Messi na Ronaldo hawezi hata kuvigusa, achilia mbali kuvivaa!
Dah KWELI wewe hujui mpira mbappe wakumringanisha na eerling HALAAND duh
 
Mkuu we cheki refa wa game ya leo uone
Pamoja na magumu yote yale alopitia Morocco [emoji1173]

Binadamu watu wa ajabu sana

Anyway sasa tumuamini nani,wewe unasema Morocco anataka kutunukiwa ubingwa,wengine wanasema Argentina na Messi wanataka wabarikiwe huu ubingwa

Which is Which
 
Yan kama France yang ikitoka ni kher abebe Morocco kulko Argentina
 
Why alalamikiwe Argentina tu kubebwa kwa penalty bandia mara kwa mara na si timu zingine [emoji848][emoji143]
Tofauti na hao failures Ureno. Nani mwingine amelalamika. Au taja penalty unazoona Argentina kapewa kwa upendeleo ?
 
FIFA ndio wanachagua mpiga penalty ?

FIFA wangekuwa na Say hii mechi ingekuwa kati ya Brazil na Argentina wala Netherlands, German wasingetoka...

Kwanini ? Bigger Teams more audience more sponsorship money na more advert for the game...

Kwahio bigger teams / names sometimes get favored results maamuzi ya refa yanakuwa influenced..., Pia Host nation asingetoka kwenye makundi...

By the way tuishukuru FIFA under Blatter alifanya Football Associations hata za nchi changa sio na Say..., bila hivyo UEFA (Europe) wangetuendesha sana sisi wengine
 
We nawe ni mpumbavu tu kama walivyo wengine.

Huyo Pele mwenyewe hujawahi hata kumuona akicheza.

Tumemuona Messi akicheza na tumewaona hao wengine.

Uchezaji wa Messi ni WA kipekee

He is football genius, maestro.

Ana Kila Kila kitu uwanja unachotaka

Kanyiwa urefu ila haijawahi kuwa kikwazo kwake kukupa matokeo unayotaka na burudani.

Eti kaandaliwa sawa kaandaliwa kwani Pele hakuandaliwa!?

Ujinga mtupu
 
Hao ni Malofa tu, in MKAPA voice. Wanajitungia tu mambo. FIFA wangekuwa wanataka kumpa Messi WC si wangempa mwaka 2014.
Wazungu wenye fitna wako Ulaya wana wachezaji bora sana kama Johann Cruyff,Andrea Pirlo na hata huyo Ronaldo anatokea Ulaya.
Wangetaka hivyo wangewapa wa Ulaya wenzao kumziba Pele na America kusini yote.
Aliyepewa kapewa,waombee Argentina apoteze fainali nje ya hapo ni kelele tu.
 
Jinsi ulivyoandika tu hayo majina haisumbui kujua kuwa wewe ni shabiki wa mchezaji gani
 
Hakuna kitu kama hicho. Mpira wa miguu unachezwa wazi wazi, na watu wote tunaangalia. Hiyo ni wivu wenu tu nyie team Ronaldo
 
Idiot
 
Jinsi ulivyoandika tu hayo majina haisumbui kujua kuwa wewe ni shabiki wa mchezaji gani
Kwahiyo nikiandika La Pulga badala ya Messi tayari inaonesha kuwa namshabikia Messi?

Hayo si majina tu ya utani mitaani au unawaza kwa kutumia nini haswa [emoji848]
 
Nadhani huangalii mechi unasikiliza redioni
 
Ni Kweli watanzania tuna changamoto nyingi

Lakini nadhani kuwa na vilaza kama wewe halafu tukwaaminisha kwamba muwe huru kujiexpress ni dhambi ambayo itatutafuna Kwa muda mtefu sana

FIFA hapigi penati, hapangi first eleven, hachagui game pattern etc

In fact it’s worse fifa kupanga refa wa ulaya kwenye game kati ya European team na South American team

USHAURI: HATE KISTAARABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…