Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Yeye nae alikuwa binti mdogo ..kipindi anafanya hayo alikuwa na 20yrs..mabwana zake alikuwa asipopokea simu walikuwa mpaka wanalia...cheiii!!
 
Yani vijana wa siku hizi dah..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani pamoja na kuchanjiwa dawa ndo ukaishia kula walembo saba jalafu unakuja hapa kuanzisha uzi unajisifu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi hapa sikuwahi kuchanjiwa wala kuoga hizo dawa ila kwa huo umri kama wako nilikula kama mademu 124 hivi
Na mpaka kufikia sasa nilishatomba wanawake wapatao mia nne
 
Yeye nae alikuwa binti mdogo ..kipindi anafanya hayo alikuwa na 20yrs..mabwana zake alikuwa asipopokea simu walikuwa mpaka wanalia...cheiii!!
Yaani huyo hakuwa amezidi 22 jamani nilikuwa namshangaa, watu wakubwa ambao mie nawaheshimu, mpaka nikawa naogopa kuongozana naye labda tukutane tu aibu
 
Hongera sana mkuu kwa kuwa huru kutoka katika lindi la "ujana- ujinga" huo.

Lakini hujatueleza ni kwa njia gani uliizingua hiyo dawa hadi ukawa huru.

Naweza kuelezea nikaonekana mganga ila nilizizindua na wapo wataalamu wa hayo mambo
 

Punguza ukali wa maneno,

Lengo halikuwa kutamba au kujisifu kwa idadi kubwa ya wanawake niliokuwa nao maana nina imani kuwa huwezi ukafikia hata kidogo kidogo na siyo sifa.

Kikubwa ilikuwa ni ushuhuda kidogo tu na kubadilishana mitazamo
 
We jamaa umenikumbusha nilikwenda kwa mganga alinichanja sehemu nyingi ila kuna mahala alifika alitaka kunikera ila nilikuwa sina namna.
Alifikia nyuma ya kiuno juu ya makalio ambapo alishuka zaidi na kuniomba nivue bukta nikavua akaniomba nivue SanLG nikavua akapapasa makalio akachanja karibu kabisa na jicho du ilifika hatua nikawaza yaani huyu mpuuzi akinitia kidole au akiingiza dubwasha lolote hapakaliki.

Nadhani kuna muda aliingiza kidude flani sijui kilikuwa nini.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushirikina unataka moyo sana, tuokoke
 
Sasa hapa mpuuzi alikuwa mganga au mteja wa mganga!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] unatuuliza sisi aliingiza dude gani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]! Wakati wewe ndiye ulikuwa naye huyo mganga ungemuuliza mtaalamu umeinhiza nini hicho haaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…