Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Si kuna upendo huko ngoja nijisogeze na mm nioe.....[emoji1] [emoji1] fursa ya nini mkuu?
Hahah nenda tu mkuu kajionee usisubiri vya kuambiwa na kila la kheri.Si kuna upendo huko ngoja nijisogeze na mm nioe.....
Hahahaha ngoja nichukue likizo kabisa mkuuHahah nenda tu mkuu kajionee usisubiri vya kuambiwa na kila la kheri.
[emoji1] [emoji1] kila la kheri.Hahahaha ngoja nichukue likizo kabisa mkuu
Wataanza jadili vingine subiri waje...Shem huyoView attachment 750400
yaani..halafu mbona walishaambiwa kuwa hiyo shughuli imeandaliwa na kina mama..so walitaka hao wanaume wakafuate nini hapoHater huyo utamuweza always negativity!!!
kiba mbinafsi sana au tuseme hana marafiki wanamuziki wenzie?,
[emoji106]Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
haha.. Nairobi je??? Mji wa wajanja huo...😳😳Mombasa ni ndogo...usku ni kubwa!
Hoja ya kujaa wanawake haijaakisi ulichokieleza.Ile event ilikuwa maalum kwa ajili ya akinamama plus wanaume wachache waliokuwepo kwa sababu maalum.Kupitia harusi ya Kiba Azam tv nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanawake wa mombasa....
1.Ni wanawake wanaopenda kujisitiri maungo yao yani wanajua thamani ya miili yao...ushuhuda angalia walivyovaa hapo ukumbini kama wapo msibani vile madela na mashungi kibao assume hapo ingekua Dar es Salaam..mapaja nje nje
2.Ni wazi kuwa Wanawake wa Mombasa wanawazimia sana wanaume wa Bongo(si ajabu ndo mana wanaume wa kule wanapenda kulala chooni)....ushuhuda dada mmoja kaulizwa na mtangazaji umependa nini kwenye harusi hii...amejibu amependa wabongo.."Tz wako na swaga sana"
3.Wanawake wa Mombasa wana mzuka sana na taarabu za kibongo hasa za Isha Mashauzi..ushuhuda nyimbo nyingi ukumbini zinapigwa taarabu za Isha nA wanapata vibe ya kucheza kuliko hata zikipigwa ngoma za Bwana harusi muitikio hakuna.(mc kila muda dj weka mashauzi)
4.Wanawake wa Mombasa inaonekana ndio wapenzi wa burudani na sherehe kuliko wanaume au kwa lugha nyingine wanawake wa mombasa ni wajanja kuliko wanaume....ushuhuda 99% ya waliohudhuria ukumbini ni wanawake,hii labda ni kutokana na wanaume wa mombasa wengi labda ni maustadhi sana au vinginevyo
5.Mombasa haina tofauti na Tanga,tamaduni zao zinafanana kwa namna moja ama nyingine,labda kwa vile wanapakana.
Mwisho Kabisa kiroho safi kabisa Ukubw Wa tukio hili haukupaswa kuwa na uchangamfu hafifu pale ukumbini na kukosekana kwa Celebrity wakubwa kutoka Kenya...licha ya ukumbi kupambwa kwa namna ya kipekee unavutia sana naamini kabisa sherehe itakayo fanya bongo itakua si mchezo,funga kazi.
kuna vitu hataki kusema kuhusu wanawake wa mombasaHivi unaweza ukawatizama watu kwenye Tv, kisha ukapata picha ya tabia zao halisi kweli?? Kwa hiyo wewe baada ya kutazama harusi kwenye Tv tayari umepata picha kuwa hivyo ndivyo wanawake wote wa Mombasa ndivyo walivyo?
Kwa hilo sikubaliani na wewe hata kidogo. Iko hivi, Mombasa hakuna tofauti na miji mingine mikubwa kama vile hapa Dar. Kuna mchanganyiko wa watu wa kila namna, wapo wenye kujisitiri na wasiojua kujisitiri. Nasema hivyo sababu binafsi nimewahi kukaa Mombasa na sikuona tofauti ya tabia za Wanawake wa Mombasa na Dar es salaam.
Ahsante kwa kuliona hilo.Ndo watu wa Pwani wanaojua thamani ya Pwani huwa wanaishi vile.Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
Ahsante kwa kuliona hilo.Ndo watu wa Pwani wanaojua thamani ya Pwani huwa wanaishi vile.Wana stara haswaa na haiba ya kike nimependa bi harusi alivyo na hayaa na staraa!hana matashtitiii mdada wa watu!hongera kungwiiii mwl wetu sio kigegooo!
Kwa kiasi.Mombasa ni ndogo...usku ni kubwa!
kiba mbinafsi sana au tuseme hana marafiki wanamuziki wenzie?,