Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

Kaka wewe kweli huwa unahudhuria vikao vyetu 👏🏾👏🏾
 
Kwa hiyo mnawaona wa kuolewa ila mnawaacha nao
Oeni au acheni kuwachezea na kuwaacha wakiwa na watoto wenu
Msiogope majukumu maana ndio tumeumbwa hivyo kuwa na familia
Ni raha sana kuwa na familia asiwaambie mtu
Unakuwa na more responsibility
 
Sahihi sana kuwa na family ni kitu kizuri sana na ni baraka lakini tukumbushane kwamba umakini unahitajika sana kwenye kufanya chaguzi
 
Zungumzieni na utayari wa wahusika kuolewa basi… Kuolewa sio kutekwa, Mwanamke lazima akubali kwanza.

If you know you know!
Hii ungeianzishia uzi ungepungukiwa nini maadam
 
Sijaona disclaimer ya kuwa nisicomment hapa. Mwambie mleta uzi aweke.

Nakazia, huwezi muoa mtu ambaye hataki.
Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀
 
Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀
Bro VIPI mbona unausmbua utulivu wangu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…