Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

Halafu bahati nzuri sifa za mke tunazijua wanaume Tu na hutosikia zinasemwa popote pale, lakini zipo na hazizidi 5 , unakutana na mwanamke ukikaa nae miezi miwili unabaini hapa sio unajitoa taratibu, mwanamke akiwa na zile sifa ukweli hua anatafutwa sana
Kaka wewe kweli huwa unahudhuria vikao vyetu 👏🏾👏🏾
 
Kwa hiyo mnawaona wa kuolewa ila mnawaacha nao
Oeni au acheni kuwachezea na kuwaacha wakiwa na watoto wenu
Msiogope majukumu maana ndio tumeumbwa hivyo kuwa na familia
Ni raha sana kuwa na familia asiwaambie mtu
Unakuwa na more responsibility
 
Sahihi sana kuwa na family ni kitu kizuri sana na ni baraka lakini tukumbushane kwamba umakini unahitajika sana kwenye kufanya chaguzi
 
Sijaona disclaimer ya kuwa nisicomment hapa. Mwambie mleta uzi aweke.

Nakazia, huwezi muoa mtu ambaye hataki.
Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀
 
Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀
Bro VIPI mbona unausmbua utulivu wangu ?
 
Back
Top Bottom