Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Umesahau mbeya pazuri....oyoooooKama kawaida maisha lazima yasonge tunaanzia kunywa universal tunamalizia freepark, hatutoki njia panda sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau mbeya pazuri....oyoooooKama kawaida maisha lazima yasonge tunaanzia kunywa universal tunamalizia freepark, hatutoki njia panda sisi
Hakuna shida mkuumbona kinyonge bibie
Kaka wewe kweli huwa unahudhuria vikao vyetu 👏🏾👏🏾Halafu bahati nzuri sifa za mke tunazijua wanaume Tu na hutosikia zinasemwa popote pale, lakini zipo na hazizidi 5 , unakutana na mwanamke ukikaa nae miezi miwili unabaini hapa sio unajitoa taratibu, mwanamke akiwa na zile sifa ukweli hua anatafutwa sana
Mbeya pazuri, city pub na wairubi, huko ni usiku tukiona vipi twende chunya hukoUmesahau mbeya pazuri....oyooooo
Chunya utanifurahisha, sijawahi fika ujueMbeya pazuri, city pub na wairubi, huko ni usiku tukiona vipi twende chunya huko
Wewe miaka yote hiyo haujafika chunya duuuChunya utanifurahisha, sijawahi fika ujue
Sijawahi katuWewe miaka yote hiyo haujafika chunya duuu
MtoroKaka wewe kweli huwa unahudhuria vikao vyetu 👏🏾👏🏾
Upo vzuri.Mtoro
Sahihi sana kuwa na family ni kitu kizuri sana na ni baraka lakini tukumbushane kwamba umakini unahitajika sana kwenye kufanya chaguziKwa hiyo mnawaona wa kuolewa ila mnawaacha nao
Oeni au acheni kuwachezea na kuwaacha wakiwa na watoto wenu
Msiogope majukumu maana ndio tumeumbwa hivyo kuwa na familia
Ni raha sana kuwa na familia asiwaambie mtu
Unakuwa na more responsibility
Hii ungeianzishia uzi ungepungukiwa nini maadamZungumzieni na utayari wa wahusika kuolewa basi… Kuolewa sio kutekwa, Mwanamke lazima akubali kwanza.
If you know you know!
Rudia kusoma upya itakua hujaelewaSasa mbona hamuwaoi mnawazalisha tu
Sijaona disclaimer ya kuwa nisicomment hapa. Mwambie mleta uzi aweke.Hii ungeianzishia uzi ungepungukiwa nini maadam
Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀Sijaona disclaimer ya kuwa nisicomment hapa. Mwambie mleta uzi aweke.
Nakazia, huwezi muoa mtu ambaye hataki.
Bro VIPI mbona unausmbua utulivu wangu ?Uko nje ya mada ila wataalamu wa psychology tushajua unatafuta namna ya kujitibu unachopitia yani unatafuta balance uonyeshe watu na wewe unaweza kufanya maamuzi 😀😀