Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Hizi ndizo sababu zitaendelea kuifanya Tanzania iwe mbali sana na mabadiliko/mageuzi makubwa
1. Tanzania ina wahafidhina "conservatives" wengi kuliko watu huria "liberals". Kwa wasiofahamu vizuri wahafidhina ni watu wanaoshikilia misimamo ya kale, wasiopenda kwenda na wakati katika mambo mbalimbali kama vile jinsi watu wanavyowachukilia viongozi, mavazi, mahusiano, ndoa n.k Wahafidhina...www.jamiiforums.com
Ona hii nanga
TatiAcha akili za kimaskini wewe. Sasa kuna shida gani mtu kupeleka cash dola Mil 18 bank?
Kuna watu akili zenu zimejaa ufukara tu
Wewe uko nyuma na huna taarifa na hivyo usinipotezee muda!Mkuu unaijua lakini $18milioni??? Isije ukawa unasema dollar ambazo thamani yake Kwa tz ni 18milioni?
Ona hii nanga
Siku nikipeleka dola bilioni 200 sijui jamaa atasemaje. Yaani watu wanaji limit wenyewe kichwani mwao. They doubt themselves about their capability.Acha akili za kimaskini wewe. Sasa kuna shida gani mtu kupeleka cash dola Mil 18 bank?
Kuna watu akili zenu zimejaa ufukara tu
Ni ushamba wa kiwango cha lami kwenda kuzuia watu kuvaa mavazi ya Beach kwenye sehemu ya starehe iliyo eneo la beach
Ni ushamba na ujinga zaidi kuzuia sehemu iyo kuuza vinywaji asubuhi. Dunia imefika hatua sehemu za starehe na biashara zinafanya kazi masaa 24 alafu hapa kuna wajinga eti wanaenda kuwazuia kufanya biashara asubuhi.
Hii nchi ina wajinga sana kwa kweli
Magufuli sasa anahusiana na nini kwenye hii mada? Kipindi cha Magufuli si ndio marufuku ya kufungua baa ilianza? Na huu upuuzi wa kuingilia maisha binafsi ya mtu kwa kisingizio cha maadili?
Watu wengine vichwa vyenu sijui vimejaa funza..!
Kazikwe nae ChatoNiliyemjibu amenielewa
Ila wewe mwenye funza mdomoni kwako unaropoka roporopo
Rest well mwamba John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazikwe nae Chato
Hebu tupe huo ugunduzi wako mpya kwa ushahidi. Pia ni wapi ulisikia waliwahi kutawaliwa na malaika wako hao?Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata.
Mbaya zaidi baada ya Amos Makala kuongea kaongea kiongozi mwingine sijui nani nae akapiga biti kuhusu club hiyo kuuza vinywaji asubuhi.
Nimeona pia habari ya kiongozi mmoja akitoa habari kuwa kuna vifarangq viliagizwa kutoka nje vimefia Airport.
Baada ya habari hizi nilichogundua ni kwamba kwa hapa Tanzania hata atawale malaika hatuwezi pata maendeleo tunayotakiwa kuyapata kamwe.
Ukiona taifa viongozi wanaenda kupiga marufuku sehemu ya starehe iliyopo ufukweni inayolipa kodi na kuingiza mapato, iliyoajiri watanzania na kuwalipa mishahara inayowawezesha kuhudumia familia zao kufanya biashara asubuhi basi ujue hiyo sehemu shida ni akili za watu.
Tanzania tuna safari ndefu sana.View attachment 2466793
Hiki chako unadhani kimejaa nini, kamasi; maana sioni unafuu wowote kati ya hicho chako na hivyo vingine!Magufuli sasa anahusiana na nini kwenye hii mada? Kipindi cha Magufuli si ndio marufuku ya kufungua baa ilianza? Na huu upuuzi wa kuingilia maisha binafsi ya mtu kwa kisingizio cha maadili?
Watu wengine vichwa vyenu sijui vimejaa funza..!
Hivi nawe hujiona kwamba unajua kitu chochote cha maana cha kujadili na wengine humu JF?Mada kama hizi zimekuzidi sana uwezo mjinga kama wewe
Kuweka sheria ya muda wa kuuza pombe siyo jambo baya kwa nchi iliyostaarabika ila hilo suala linakuwa na mantiki zaidi kama kweli tungekuwa na jamii yenye ustaarabu, kuheshimiana na kila mmoja wetu kuheshimu sheria.
Tatizo ya jamii yetu ina uhuni mwingi kila mahali, mambo mengi yanaenda shaghalabaghala, huduma mbovu za kijamii, viongozi wanatumia madaraka yao vibaya huku wakijiona wako juu ya sheria, nk.
Kwa hiyo kiongozi kuibuka tu sehemu ya starehe na kuzuia watu wasisherehekee mwaka mpya kisa nchi ni ya wakulima na wafanyakazi, kauli mufilisi kabisa iliyopitwa na wakati inaleta ukakasi sana. Ila kwa kuwa Watanzania mmekataa kujipigania, mtaendelea kuteswa hadi kiama. Mnastahili lolote ambalo watawala wataamua kuwafanyia.
Mungu atusaidie kwa kweliTaifa likiwa na viongozi vipofu, taifa lote hutumbukia shimoni. Ee Mwenyezi Mungu tunusuru.
kwa akili yako ya kawaida tu, unaona sawa mtu kwenda kuipangia sehemu ya starehe iliyo ufukweni mavazi ya kuvaa na muda wa kuuza vinjwaji? kwenye dunia hii ya ushindani kwenye karne hii ya 21?Hebu tupe huo ugunduzi wako mpya kwa ushahidi. Pia ni wapi ulisikia waliwahi kutawaliwa na malaika wako hao?
Sehemu za biashara kwenye dunia iliyostaaribika huko pombe zinauzwa masaa 24, Casino zinafanya kazi masaa 24 , malls zinafanya kazi masaa 24. Leo hii tukienda kutembeza bakuli kwao tunadhani hela wanatoa wapi kama sio kupitia ubunifu wa namna hiyo?Kuweka sheria ya muda wa kuuza pombe siyo jambo baya kwa nchi iliyostaarabika ila hilo suala linakuwa na mantiki zaidi kama kweli tungekuwa na jamii yenye ustaarabu, kuheshimiana na kila mmoja wetu kuheshimu sheria.
Tatizo ya jamii yetu ina uhuni mwingi kila mahali, mambo mengi yanaenda shaghalabaghala, huduma mbovu za kijamii, viongozi wanatumia madaraka yao vibaya huku wakijiona wako juu ya sheria, nk.
Kwa hiyo kiongozi kuibuka tu sehemu ya starehe na kuzuia watu wasisherehekee mwaka mpya kisa nchi ni ya wakulima na wafanyakazi, kauli mufilisi kabisa iliyopitwa na wakati inaleta ukakasi sana. Ila kwa kuwa Watanzania mmekataa kujipigania, mtaendelea kuteswa hadi kiama. Mnastahili lolote ambalo watawala wataamua kuwafanyia.