DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k
Anafanya Kazi 8--9 hours
Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje
Ana Ist used ya Mwaka 2005
Kaoa ana watoto 2 au 3
Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka
Kijana bodaboda
Ambaye Hana nyumba Wala gari
Ambaye hajaoa
Sasa huyu kijana bodaboda hutumia kipato chake 1/3 kuwekeza katika Kilimo kagawa Ajira kwa vijana wa 3 na anasaidia Yatima , wajane na wazazi ndugu na Jamaa
Basi nahitimisha kwa kusema watu mnaodharau harakati za watu wakati nyie mmeajiriwa hamna Impact yoyote kwa jamii zaidi ya majungu ni wajinga na masikini wa Akili.