lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Jamii yetu , HAIHESHIMU shughuli ndogondogo kwa ajili ya kujiingizia kipato.
Mwenye bodaboda, mwenye Genge, mwenye salon ( kike/kiume) fundi seremala, fundi muashi, fundi simu/radio/tv/saa nk, waosha magari, mafundi welding na shughuli zote ndogo au za kati.
Watendaji wake na jamii inaowazunguka baadhi wanaamini hawa bado HAWAJAPATA SHUGHULI RASMI ZA KUJIKWAMUA KIMAISHA ila yule ambaye ameajiriwa na kulipwa UJIRA kila mwisho wa mwezi ndiyo jamii humuona MWENYE SHUGHULI RASMI NA BORA ya kumuingizia kipato.
Wakati haya makundi ya WATU, utofauti wao huwa kwenye MIPANGILIO YA KIPATO CHAO. Ndipo neno KUJIKWAMUA KIMAISHA linapojitokeza.
Jamaa salon tu imemtoa!! Jamaa genge tu!! Katoboa , jamaa mshahara mdogo tu !! Katusua.