Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k

Anafanya Kazi 8--9 hours
Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje
Ana Ist used ya Mwaka 2005

Kaoa ana watoto 2 au 3

Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka

Kijana bodaboda
Ambaye Hana nyumba Wala gari
Ambaye hajaoa

Sasa huyu kijana bodaboda hutumia kipato chake 1/3 kuwekeza katika Kilimo kagawa Ajira kwa vijana wa 3 na anasaidia Yatima , wajane na wazazi ndugu na Jamaa

Basi nahitimisha kwa kusema watu mnaodharau harakati za watu wakati nyie mmeajiriwa hamna Impact yoyote kwa jamii zaidi ya majungu ni wajinga na masikini wa Akili.
 
wewe nae ata ujinga bado haujakutoka kabisa.!
 
Ujawai kufika hata kibela kenya au nje bora unyamaze endelea kuishi mburahati nyumba za kota hapo ukiendeleza dini na kutokuoa.

Ardhi ni utajiri muulize trump
 
Hii ni DEDICATION Kwa wote wenye tabia tajwa hapo juu.....
 
Acha uongo hakuna mtu analipwa laki sita akawa na hizo mali ulizotaja.
 
Ivi kuoa, ama kuwa na gari au nyumba ndo mafanikio?
Hayo ni mahitaji ya Kila mwanadamu hasa ktk ulimwemgu wa Sasa... Wajuvi wa mambo uangalia mafanikio ya mtu ktk nyanja ya uwekezaji i.e mashamba, viwanja, nyumba za kupangisha etc
 
Ivi kuoa, ama kuwa na gari au nyumba ndo mafanikio?
Mkuu Mafanikio ni suala binafsi. Ni makosa kutumia kipimo chako cha mafanikio kwa mtu mwingine. Kama malengo ni tofauti, mafanikio hayawezi fanana. Ndio, Kuwa na gari au nyumba inaweza kuwa ni mafanikio.
 
Ulikuja duniani kusaidia wajane?
 
Ivi kuoa, ama kuwa na gari au nyumba ndo mafanikio?
Mkuu....kwa wabongo, akishakuwa na nyumba, gari, na ameoa - halo amemaliza safari ya mafanikio. Wabongo tunaridhika mapema sana....na hatujifananishi na watu waliotuzidi ki-mafanikio, tunapenda kujifanisha na kuwa-cheka wale tunaowazidi.
 
Mtumie ujumbe huu Lema na CHADEMA, wamekosa sera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…