Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
ExactlyBaada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao. Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Wahuni wale wanajificha chini ya koti la injiliBaada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao. Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao. Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Mimi nawaombea maji ya kunywa.Tuwaombee.
The in-born bandits and harlots huwa hawabadiliki wala hawana mbadala.Shusho wakati anatoa video yenye clip ya Bunge, hasa spika 6, watu hawakusoma Code
Hivi kuna tofauti gani kati ya kuonya na kuhukumu, ama kusema ukweli na kuhukumu?Unaweza ukawa sahihi ila, TUSIHUKUMU
Huko ndio balaa.Vipi kuhusu wachungaji?