Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Mfungo watu wanafanya uonekane hauna maanaMkuu bora hata hao wanaotongoza na kupanga miadi ya kutiana baada ya ramadhan kuisha, kuna walozi hao mkuu, wana mipango miovu kuliko hao wanaowazia michezo ya kuongeza idadi ya watu ulimwenguni kuliko wanaowaza kuwaua, kuwatesa watu na kukwamisha mafanikio ya wengine