The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
Na hii ndio sababu inayonifanya nivutiwe na Toyota Altezza 3S dhidi ya Crown athletes JZ-GE. Horse power ni nguvu ya kulipuka tu, kama gari Haina stamina Wala balance hiyo gari inakuwa sawa na kelele na moshi tu.
Ni kama mwanariadha mwenye misuli mikubwa, unaonekana mkali kwenye picha lakini Huna coordination na unachoka baada Mita 50. Nguvu ya misuli bila balance Wala stamina utafeli tu kwasababu balance ndio inayokufanya utumie hiyo nguvu na uzidi kwende mbele Hadi mwisho.
Crown athletes with 280hp (top speed master). Huwezi kuishindanisha na Altezza with 210hp (balance king) kwa mbio na safari ndefu labda kama mbio za safari fupi let say 5km . Hapo sawa mwenye crown utachukua taji la ushindi.