Nilichojifunza: Horse power Haina maana ikiwa gari haina balance wala stamina

Nilichojifunza: Horse power Haina maana ikiwa gari haina balance wala stamina

Altezza hizi hizi za 98 au kuna model za hivi karibuni zimetoka?
Aisee unakosea sana unailinganisha crown ya 2gr na Altezza ya 98? Ni kama kulinganisha Iphone 15 na Nokia 3310 kwa speed
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Na kwanini dunia nzima nchi zilizotengeneza haya magari zimeweka kisheria viwango vya mwendokasi wa kuendesha hizo gari, ina maana wana akili sana halafu mijitu miuesi ni mijinga mno...

View attachment 3603242
Sijasemea speed kitaifa tunaongelea suala la crown kuwa na speed 180km/h na taboa ya gari hiyo ikiwa katika speed hiyo…
 
Mkuu mimi namiliki altezza,ila 2gr kwa 3sge unaikosea heshima 2gr
Heshima ipi hiyo? Labda useme 2GR inastahili heshima kama engine. Ni masterpiece ya Toyota. Iko kwenye Lexus ya magari makali. Lakini Crown kama Crown Athlete haistahili heshima ya gari iliyo na mbio kama jina lake linavyojieleza (Athletes ila ndani ni mzee wa suti). Hapo ndio tunaponda. Jina "Athlete" ni utapeli. Gari ni la boss, si la mbio.
 
Mbona kawaida boss😅
Haha, mkuu hizi barabara saa yoyote unaumaliza mwendo.

Juzi juzi Nilikuwa natoka Dar kwenda mikoa ya kaskazini, ile barabara ya Msata-Segera nikakuta saloon car imeingia uvunguni mwa canter kwa hali ilivyokuwa unaona kabisa itakuwa ni speed na mataa full hawajaonana mmoja akamfata mwenzie. Hizi barabara zingekuwa double road zingeokoa vifo vingi vya uso kwa uso.
 
Heshima ipi hiyo? Labda useme 2GR inastahili heshima kama engine. Ni masterpiece ya Toyota. Iko kwenye Lexus ya magari makali. Lakini Crown kama Crown Athlete haistahili heshima ya gari iliyo na mbio kama jina lake linavyojieleza (Athletes ila ndani ni mzee wa suti). Hapo ndio tunaponda. Jina "Athlete" ni utapeli. Gari ni la boss, si la mbio.
Altezza ya 3s haina kifua cha kushindana hata 4gr,labda 3sge iwe manual transmission,kwa 3 na 2 gr,3s ndio aikamati kabisa,2gr inaipiga hata 3sgte
 
Hivi wasomaji wanatuonaje humu ndani? Hii mada nimeona Toka Jana nikabaki najiuliza maswali mengi...
Kama MTU anakuja na mada ya kushindanisha athlete na alteza kweli?
Yaani hii mada inatia uvivu kujibu
Kwenye hii battle ya Altezza na Crown Athletes, Altezza ana win Kila kitu kuanzia gear box, suspension, weight balance, power over weight, n.k

Tatizo mmekariri HP kubwa = gari kali. Hivi hujawahi kusikia power to weight or unsprung mass?

Chukua hizi gari mbili pandisha nazo mlima. Utaona Altezza itakavyoipita crown athletes kama imesimama na hapa ndio tupoizungumzia power to weight. Crown yenye HP kubwa nguvu yote inaishia kuibeba weight. Ni sawa msuli mkubwa ila pumzi kisoda😂

Halafu unaiita Athletes 😤
 
Altezza ya 3s haina kifua cha kushindana hata 4gr,labda 3sge iwe manual transmission,kwa 3 na 2 gr,3s ndio aikamati kabisa,2gr inaipiga hata 3sgte
Yeah ndio hiyo hiyo 3sge manual transmission ndio nayoilingalinisha na hizi Crown athletes
 
Altezza ya 3s haina kifua cha kushindana hata 4gr,labda 3sge iwe manual transmission,kwa 3 na 2 gr,3s ndio aikamati kabisa,2gr inaipiga hata 3sgte
Twende na mahesabu tuache kuangalia hizi HP za kwenye makaratasi while performance ya gari ndani road hakuna kitu....

Power to weight
Crown Athletes (315 HP) vs Altezza 2sge (210hp)

Crown athletes: weight 1650kg, 315hp = 5.23kg/HP
Altezza: weight 1350kg, 210hp = 6.42kg/Hp
 
Back
Top Bottom