Nilichojifunza: Horse power Haina maana ikiwa gari haina balance wala stamina

Haha, mkuu hizi barabara saa yoyote unaumaliza mwendo.

Juzi juzi Nilikuwa natoka Dar kwenda mikoa ya kaskazini, ile barabara ya Msata-Segera nikakuta saloon car imeingia uvunguni mwa canter kwa hali ilivyokuwa unaona kabisa itakuwa ni speed na mataa full hawajaonana mmoja akamfata mwenzie. Hizi barabara zingekuwa double road zingeokoa vifo vingi vya uso kwa uso.
Kwakweli hili nalo ni janga mkuu.
 
Twende na mahesabu tuache kuangalia hizi HP za kwenye makaratasi while performance ya gari ndani road hakuna kitu....

Power to weight
Crown Athletes (315 HP) vs Altezza 2sge (210hp)

Crown athletes: weight 1650kg, 315hp = 5.23kg/HP
Altezza: weight 1350kg, 210hp = 6.42kg/Hp
Mkuu mbona unajichanganya, kwa hayo mahesabu yako HP moja ya crown inachukua uzito kidogo na HP moja ya altezza inabeba uzito zaidi kuliko kwenye crown.

Crown yenye 2GR unaifahamu kweli?
Torque umeangalia? gari inaweza kuwa nzito lakini torque inapokuwa kubwa inasaidia hilo gari kuwa jepesi.. 2GR ina torque kubwa kwa namna yeyote hapo altezza hana nafasi.

Hio altezza yako itaona vumbi tu..
 
Namiliki altezza mkuu,altezza si gari ya mbio,drifting sawa,hata altezza 3sgte ambazo TZ azizidi hata 10 au hata altezza ya 1jz ge bado hazina kifua za kushindana na mark x au crown ya 2gr mkuu
 
Mkuu mbona unajichanganya, kwa hayo mahesabu yako HP moja ya crown inachukua uzito kidogo na HP moja ya altezza inabeba uzito zaidi kuliko kwenye crown.

Crown yenye 2GR unaifahamu kweli?
Torque umeangalia? gari inaweza kuwa nzito lakini torque inapokuwa kubwa inasaidia hilo gari kuwa jepesi.. 2GR ina torque kubwa kwa namna yeyote hapo altezza hana nafasi.

Hio altezza yako itaona vumbi tu..
Ndio , Iko Bora Kila HP inavuta uzito mdogo zaidi. Lakini HP bila balance ni sawa na bure
 
Mzee kwenye corner za haraka altezza inaji balance vyema, ndio maana hutumiwa sana kwenye drifting...
Unapokuja kwenye mbio hio altezza haiwezi kushindana na crown yenye 2GR, crown ina comfort na stablity zaidi kuliko altezza.

kuwa stable ina maana gari inabaki imetulia hata kwenye speed kubwa, haitetemeki , inakuwa na utulivu na haipeperushwi hovyo na upepo..

Crown kwenye mbio ipo stable zaidi...
Comfort hapo unazungumzia vibrations ukiwa ndani ya gari, kelele ndani ya gari, jinsi inavyopita kwenye mashimo kwa utulivu... hio ndio comfort...

Hivyo crownya 2GR kwenye mbio ikiwa highway hio altezza haiwezi kuifuata, kwenye kona za hapa na pale altezza ita perform vyema zaidi..

Balance, comfort na stability ni mambo tofauti kabisa.. unajichanganya sana..
 
Na hii ndio sababu inayonifanya nivutiwe na Toyota Altezza 3S dhidi ya Crown athletes JZ-GE. Horse power ni nguvu ya kulipuka tu, kama gari Haina stamina Wala balance hiyo gari inakuwa sawa na kelele na moshi tu.

Ni kama mwanariadha mwenye misuli mikubwa, unaonekana mkali kwenye picha lakini Huna coordination na unachoka baada Mita 50. Nguvu ya misuli bila balance Wala stamina utafeli tu kwasababu balance ndio inayokufanya utumie hiyo nguvu na uzidi kwende mbele Hadi mwisho.

Crown athletes with 280hp (top speed master). Huwezi kuishindanisha na Altezza with 210hp (balance king) kwa mbio na safari ndefu labda kama mbio za safari fupi let say 5km . Hapo sawa mwenye crown utachukua taji la ushindi.
Mambo ni mengi, Kuna aerodynamics......
 
Discovery 4 za kuanzia 2015 SE,SUV na kuendelea hizo gari kama sizingekua na changamoto ya Engine kwenye mapumziko Muingereza alitengeneza gari ina balance ya kutosha na mapumziko yapo pia..
 
Na hii ndio sababu inayonifanya nivutiwe na Toyota Altezza 3S dhidi ya Crown athletes JZ-GE. Horse power ni nguvu ya kulipuka tu, kama gari Haina stamina Wala balance hiyo gari inakuwa sawa na kelele na moshi tu.

Ni kama mwanariadha mwenye misuli mikubwa, unaonekana mkali kwenye picha lakini Huna coordination na unachoka baada Mita 50. Nguvu ya misuli bila balance Wala stamina utafeli tu kwasababu balance ndio inayokufanya utumie hiyo nguvu na uzidi kwende mbele Hadi mwisho.

Crown athletes with 280hp (top speed master). Huwezi kuishindanisha na Altezza with 210hp (balance king) kwa mbio na safari ndefu labda kama mbio za safari fupi let say 5km . Hapo sawa mwenye crown utachukua taji la ushindi.
Crown usilinganishe na vitu vya kijinga
 
Wewe si ulikuwa na dungu 3 na ukasema hazina shida kabisa iweje leo useme 2007/10 ni sumbufu?
Nazungumzia general zipo zinazotoka UK,Hong Kong, Singapore kwa niliyotumia ya SA haikua na shida ya 2007 kipindi kile mpaka nikauza hata sasa hivi nipo na Discovery ya 2015 SE SA ila Hilux ya 2023 na Ford ranger ya 2018 zote zipo home Tanzania..
Wiki ijayo tukijaaliwa uzima naleta hii version ya karibuni kidogo..
 
Ahaa

Kumbe dungu za South hazina shida
 
Back
Top Bottom