BrainOs
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 326
- 549
Nasikia hadi mazda cx5 za mkaburu hazina usumbufu wa DPFNasikia zenye wenge sana za U.K
Nasikia hadi mazda cx5 za mkaburu hazina usumbufu wa DPFNasikia zenye wenge sana za U.K
Inawezekana mkuuNasikia hadi mazda cx5 za mkaburu hazina usumbufu wa DPF
Nyingi hazina shida pana moja niliikosa wiki iliyopita disco 3 ya 2007 mzungu alikua anauza watu wakaikaba juu kwa juu kwa pesa ndogo tu.Ahaa
Kumbe dungu za South hazina shida