The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
Kusema ukweli; Crown athletes sio mwanariadha bali ni mzee wa ofisi aliyevalia mavazi ya GYM. Na ule uzito wake wore HP inaishia pale.Ngoja mashabiki wa mbio waje.
Moja ya sifa mbaya ya crown, ikiwa 180km/hr haiko stable huyumba.😁 crown haina balance kumbe
Huu ni ujinga sasaMoja ya sifa mbaya ya crown, ikiwa 180km/hr haiko stable huyumba.
Kwani walioweka speed limiter ni wapumbavu?na kwanini waliweka 180km/hHuu ni ujinga sasa
Yaani gari ya matumizi ya kawaida unaendesha 180km/hr ili ugundue nini, kifo ?
Na kwanini dunia nzima nchi zilizotengeneza haya magari zimeweka kisheria viwango vya mwendokasi wa kuendesha hizo gari, ina maana wana akili sana halafu mijitu miuesi ni mijinga mno...Kwani walioweka speed limiter ni wapumbavu?na kwanini waliweka 180km/h
Unazungumzia speed ya 180km/hr??? Na vipi kuhusu 240km/hr, or 280km/hr?.Huu ni ujinga sasa
Yaani gari ya matumizi ya kawaida unaendesha 180km/hr ili ugundue nini, kifo ?
sijui mkuu hii sijafanyia testing yaani sijazingatia hiloMoja ya sifa mbaya ya crown, ikiwa 180km/hr haiko stable huyumba.
Hizo izo nadhani anapambanisha na Athlete S180, hizi za 2003Altezza hizi hizi za 98 au kuna model za hivi karibuni zimetoka?
Unamaanisha hii na hii? Mkuu Ghost Writer huitendei haki Crown.Hizo izo nadhani anapambanisha na Athlete S180, hizi za 2003
Huo ni ujingaUnazungumzia speed ya 180km/hr??? Na vipi kuhusu 240km/hr, or 280km/hr?.
Kifo Kila mtu atakufa.
Kwahio Wajapan waliitengeneza Crown, wakaipa hizo horse power bila kuzingatia balance sijui stamina ndugu mtaalam?Na hii ndio sababu inayonifanya nivutiwe na Toyota Altezza 3S dhidi ya Crown athletes JZ-GE. Horse power ni nguvu ya kulipuka tu, kama gari Haina stamina Wala balance hiyo gari inakuwa sawa na kelele na moshi tu.
Ni kama mwanariadha mwenye misuli mikubwa, unaonekana mkali kwenye picha lakini Huna coordination na unachoka baada Mita 50. Nguvu ya misuli bila balance Wala stamina utafeli tu kwasababu balance ndio inayokufanya utumie hiyo nguvu na uzidi kwende mbele Hadi mwisho.
Crown athletes with 280hp (top speed master). Huwezi kuishindanisha na Altezza with 210hp (balance king) kwa mbio na safari ndefu labda kama mbio za safari fupi let say 5km . Hapo sawa mwenye crown utachukua taji la ushindi.
Kwamba barabara imenyooka na dereva umetulia ila gari linayumba?Moja ya sifa mbaya ya crown, ikiwa 180km/hr haiko stable huyumba.
Horse power 280hp ya kwenye makaratasi. Ila barabarani 150hp😅Kwahio Wajapan waliitengeneza Crown, wakaipa hizo horse power bila kuzingatia balance sijui stamina ndugu mtaalam?