The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
- Thread starter
-
- #21
Gari iliyona balance hata speed 220km/hr dereva anabadili mziki kwanye android radio. Mkono mmoja nwingine upo usukani. Sio upo 180km/hr mikono yote unatetemekea usukani na jasho😤Kwamba barabara imenyooka na dereva umetulia ila gari linayumba?
Aisee unakosea sana unailinganisha crown ya 2gr na Altezza ya 98? Ni kama kulinganisha Iphone 15 na Nokia 3310 kwa speedAltezza hizi hizi za 98 au kuna model za hivi karibuni zimetoka?
Hata crown ya 2gr-fs v6 2018 Bado haifui dafu hata kwa Altezza ya RS200 ya 2005😤Hizo izo nadhani anapambanisha na Athlete S180, hizi za 2003
Sijasemea speed kitaifa tunaongelea suala la crown kuwa na speed 180km/h na taboa ya gari hiyo ikiwa katika speed hiyo…Na kwanini dunia nzima nchi zilizotengeneza haya magari zimeweka kisheria viwango vya mwendokasi wa kuendesha hizo gari, ina maana wana akili sana halafu mijitu miuesi ni mijinga mno...
View attachment 3603242
2005, 3S-GEAltezza hizi hizi za 98 au kuna model za hivi karibuni zimetoka?
Ok boss2005, 3S-GE
Mkuu mimi namiliki altezza,ila 2gr kwa 3sge unaikosea heshima 2grHata crown ya 2gr-fs v6 2018 Bado haifui dafu hata kwa Altezza ya RS200 ya 2005😤
Heshima ipi hiyo? Labda useme 2GR inastahili heshima kama engine. Ni masterpiece ya Toyota. Iko kwenye Lexus ya magari makali. Lakini Crown kama Crown Athlete haistahili heshima ya gari iliyo na mbio kama jina lake linavyojieleza (Athletes ila ndani ni mzee wa suti). Hapo ndio tunaponda. Jina "Athlete" ni utapeli. Gari ni la boss, si la mbio.Mkuu mimi namiliki altezza,ila 2gr kwa 3sge unaikosea heshima 2gr
High speed high vibe😅Hivi mnaoendesha magari hadi kufika speed 180 au 200 mnapata raha gani kwa mfano?
Tuache luxury twende kwenye mbio 😤Ok boss
Mbio na barabara hizi boss?Tuache luxury twende kwenye mbio 😤
Mbona kawaida boss😅Mbio na barabara hizi boss?
Haha, mkuu hizi barabara saa yoyote unaumaliza mwendo.Mbona kawaida boss😅
Altezza ya 3s haina kifua cha kushindana hata 4gr,labda 3sge iwe manual transmission,kwa 3 na 2 gr,3s ndio aikamati kabisa,2gr inaipiga hata 3sgteHeshima ipi hiyo? Labda useme 2GR inastahili heshima kama engine. Ni masterpiece ya Toyota. Iko kwenye Lexus ya magari makali. Lakini Crown kama Crown Athlete haistahili heshima ya gari iliyo na mbio kama jina lake linavyojieleza (Athletes ila ndani ni mzee wa suti). Hapo ndio tunaponda. Jina "Athlete" ni utapeli. Gari ni la boss, si la mbio.
Hivi mnaoendesha magari hadi kufika speed 180 au 200 mnapata raha gani kwa mfano?
Kwenye hii battle ya Altezza na Crown Athletes, Altezza ana win Kila kitu kuanzia gear box, suspension, weight balance, power over weight, n.kHivi wasomaji wanatuonaje humu ndani? Hii mada nimeona Toka Jana nikabaki najiuliza maswali mengi...
Kama MTU anakuja na mada ya kushindanisha athlete na alteza kweli?
Yaani hii mada inatia uvivu kujibu
Yeah ndio hiyo hiyo 3sge manual transmission ndio nayoilingalinisha na hizi Crown athletesAltezza ya 3s haina kifua cha kushindana hata 4gr,labda 3sge iwe manual transmission,kwa 3 na 2 gr,3s ndio aikamati kabisa,2gr inaipiga hata 3sgte
Twende na mahesabu tuache kuangalia hizi HP za kwenye makaratasi while performance ya gari ndani road hakuna kitu....Altezza ya 3s haina kifua cha kushindana hata 4gr,labda 3sge iwe manual transmission,kwa 3 na 2 gr,3s ndio aikamati kabisa,2gr inaipiga hata 3sgte