- Thread starter
- #21
Ndio kwa upande wangu mimi nimeona magroup ya ajira kuna baadhi nimeona unatakiwa utoe angalau kama sio 2000 basi 3000 ili ujiunge. Ila yakujiunga BURE nayo yapo pia!Hivi jamani mnambie, kumbe kuna magroup mtu anatakiwa atue hela ajiunge ?