Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

Hivi jamani mnambie, kumbe kuna magroup mtu anatakiwa atue hela ajiunge ?
Ndio kwa upande wangu mimi nimeona magroup ya ajira kuna baadhi nimeona unatakiwa utoe angalau kama sio 2000 basi 3000 ili ujiunge. Ila yakujiunga BURE nayo yapo pia!
 
Huwa wana fanya kwa sababu mbili.

1. Huwa wanafanya ku-promote biashara yao. Wanajua wakisema wanahitaji wafanya kazi basi watatengeneza awareness flani katika jamii kuwahusu.

2. Wanafanya ili kutimiza sheria na taratibu. Naskia (sijafanya utafiti) wanatakiwa na sheria na taratibu kutangaza nafasi za ajira za wafanyakazi wao ili kukidhi leseni zao.
Ila kitu kimoja wanacho niudhi rohoni mwangu, pale wanapo waita watu interview wakati wanajua hamna kazi yeyote ile, utakuta mtu ametoka safari ya manyara huko anakuja dar es salaam kufanya interview hewa, na garama atakazo tumia kwenye usafiri, kulala, kula na mengineyo, aise ina kera aise,.. Hii tabia ifutwe kabisa
 
Ndugu yangu, kuna watu wazo la kumjali mtu mwingine hawanaga kabisa. Wao wanachoona ni kwamba wapate wanachokitaka basi. Ila inakera sana.
 
Ila kitu kimoja wanacho niudhi rohoni mwangu, pale wanapo waita watu interview wakati wanajua hamna kazi yeyote ile, utakuta mtu ametoka safari ya manyara huko anakuja dar es salaam kufanya interview hewa, na garama atakazo tumia kwenye usafiri, kulala, kula na mengineyo, aise ina kera aise,.. Hii tabia ifutwe kabisa
Kampuni gani inafanyaga hivyo ?
 
Take home salary inasoma vizuri Mkuu hapo katika ajira Mpya?
Swali zuri sana boss.

Unajua sisi ambao hatuna experience, linapokuja suala la salary huwa hatuna ujanja sana kwenye mazungumzo maana hatuwezi kudai mshahara wa mtu mwenye experience. Na wenyewe huwa wanatuchukua kwa sababu wanajua hatuwezi kudai hela nyingi.

Mshahara sio ule nilioutarajia. Ila kwa kuanzia sio mbaya.

Labda nikoshafanya baada ya muda wataniongezea
 
Hizi kazi za mashirika zina connection sana yani mwaka mzima natuma maombi kwenye mashirika yanayotangaza ajira na hamna hata moja lililoniita....
NB;na hapo unakuta vIgezo umekidhi na uzoefu unao na cover letter inavutia sana pasipo kusahau CV ipo vzuri kabsa
 
Ila kitu kimoja wanacho niudhi rohoni mwangu, pale wanapo waita watu interview wakati wanajua hamna kazi yeyote ile, utakuta mtu ametoka safari ya manyara huko anakuja dar es salaam kufanya interview hewa, na garama atakazo tumia kwenye usafiri, kulala, kula na mengineyo, aise ina kera aise,.. Hii tabia ifutwe kabisa
Kwa kweli hyo inakera
 
Hizi kazi za mashirika zina connection sana yani mwaka mzima natuma maombi kwenye mashirika yanayotangaza ajira na hamna hata moja lililoniita....
NB;na hapo unakuta vIgezo umekidhi na uzoefu unao na cover letter inavutia sana pasipo kusahau CV ipo vzuri kabsa
Hata barua zenyewe nina uhakika hawazisomi kabisa yani. Nahisi zinakwenda moja kwa moja kwenye dustbin
 
Kuna shule moja hapa morogoro, ni shule kubwa sana lakini huwa inafanya interview kila mwaka ila cha ajabu hakuna anayeajiriwa. Kumbe huwa wanafanya kama kutengeneza image ya shule.
 
Back
Top Bottom