Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

Kuna pikipiki halafu kuna tukutuku....

Mimi pia ni mdau mkubwa wa haya madude na siyaogopi hata, ila napenda yale manene halafu mapana, likianguka pekeyako hulinyanyui...😅

Halafu owe bomba mbili, hapo na suti yangu ya leather na kofia kuubwa nafika Joberg bila hiyana.








Namna hiyo...😋😋😋

Your browser is not able to display this video.



Boda mpaka boda...😉
 
Ebhanaeeeeee sikujua kwamba drift ya pikipiki inaweza kuwa 🔥🔥 namna hii 😄
 
imagance ni nini maama yake?? emmergence ni dharura hiyo yako ulimaanisha nini naneno sulualu ni kitu gani au misemo mipya mjini
Ukiona hivyo ujue mshangazi kama huu kushaukera, yaani amekuona kigwasa usie na akili kwa kutumia pesa zako vibaya mpaka zikuumuze mwenyewe, imagine unaacha kutoa nauli kwenye basi ukae utulie wewe umeamua kupoteza nguvu zako na muda wako bure, wakati hizo pesa ungeweza kumpa yeye anakupatia mabuno
 
Vipi kiuno na makalio havikukakamaa ulipofika mwisho wa safari?
 
Watu mnapenda kuweka maisha yenu rehani!!. Km 40 tu kusafiri na piki piki mjini siwezi labda iwe vijijini huko ambako hakuna usafiri
Wacha uoga .........futa unalopaka watoto wa watu na kuwatoa blue band wala uogopi......lakini pikipiki aaaah naogopa kifo ......hata huko kwenye futa pia kuna kifo tena cha aibu sana zingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…