Nilichojifunza kutoka Kampuni ya VIWANJA TANZANIA posta Dsm natoa mrejesho hapa

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Leo nilikuwa Ofisi ya wauzaji wa viwanja kampuni ya " VIWANJA TANZANIA "
posta mpya
Mtaa wa Ohio, Nyumba ya Maarifa, ground floor. Jirani na IT Plaza, inatazamana na ATCL.
unaweza kuwachek wanaviwanja sehemu mbali mbali ndani na nje ya Dsm
viwanja vya biashara
viwanja vya makazi
sea view plots
n.k
wasiliana nao
+255 756 081 098
nimejifunza yafuatayo

1. Sababu za kununua viwanja - Nyumba ya kuishi, kipato cha ziada, kuongeza thamani ya pesa, zawadi ya watoto
2. Umuhimu wa kuishi sehemu sahihi - Kuokoa gharama, ufanisi kazini, kujiendeleza, mahusiano ya familia
3. Kujipatia kipato cha ziada - Kujenga nyumba za kupangisha/kuuza mahali sahihi
4. Uhakika wa kipato baada ya kustaafu - Real Estate inakuepusha na maisha magumu uzeeni
5. Makosa ya kuepuka wakati wa kununua viwanja - Kutapeliwa, kununua sehemu zisizo sahihi
6. Makosa ya kuepuka kwenye nyumba za kupangisha - Maeneo yasiyofaa, gharama za ujenzi zisizo lazima
7. Jinsi ya kuanza uwekezaji kwa beginners - Anza na mtaji kidogo

Kauli mbiu yao:
"Epuka makosa. Epuka kujutia. Fanya maamuzi sasa."

Mawasiliano:
📍 Posta, Nyumba ya Maarifa mkabala na Ndege ATC, Mtaa wa *
🌐 Viwanjatanzania | Plots land Tanzania

+255 756 081 098
 
1777116566644.jpg
 
Andiko n kama wewe n mteja ukiingia NDANI mwandishi n mtumishi wa hyo kampuni

Toa hela ya tangazo
 
Sawa,
Lipia tangazo
 
Hiyo kampuni hawana kona kona ila usiende na njaa zako. Bei imechangamka ila ukinunua umenunua hamna sijui kesi mara mgogoro.
 
Back
Top Bottom