Nilichojifunza kutoka timu za Tanzania ambazo zimefuzu group stages za CAFCC na CAFCL

Kwani kuachwa Point hua inaanzaje??..unadhania hua inakua ghafla point 10?😹
Historia:
Msimu Wa 2016/2017 Simba SC walifanikiwa kuongoza ligi kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Utopolo lakini mwisho wa ligi Utopolo ilichukua ubingwa kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Hali Ilivyo Sasa:
Hata nusu msimu haujafika, Utopolo anaongoza ligi, mashabiki washaanza kujiona mabingwa. Sawa Mabingwa, Tukutane Mwisho wa Msimu.
 
Mwaka jana vijana wangu wawili walikua wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikua akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikua akifanya mitihani ya darasa la 4.

Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikua hivi:-
1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani hapakukalika ilikua kila mgeni akija anataka kumueleza matokeo yake na sisi wazazi tulisumbuliwa sana tununue zawadi. Nilichogundua furaha yake ni kwasababu ni mara yake ya kwanza kuexperience furaha hiyo.

2. Huyu wa kidato cha 4 alifaulu kwa kupata Division 1 ya point 9. Huyu alinyong'onyea sana, na hakutaka hata zawadi. Nilimkalisha chini nilimuuliza kwanini hana furaha? Akanijibu, Baba tangu nimeanza kufanya mitihani ya Taifa sikuwahi kufaulu kwa kiwango kidogo kama hichi. Nilichogundua huyu hakua na furaha kwa sababu ana malengo makubwa.

NILICHOJIFUNZA:
1. Ukiona timu inashangilia na kulifanya jambo kubwa kuingia group stage za michuano midogo ya CAFCC, usiwacheke au kuwazuia kwasababu wametimiza malengo yao au ndiyo experience pekee waliyoipata ambayo kujirudia tena si leo wala kesho.

2. Ukiona timu inachukulia poa kuingia group stage za michuano mikubwa ya CAFCL, usiwashangae kwasababu wana malengo makubwa na nikawaida yao kufika stage hiyo.
Endeleeni tu kusikilizia maumivu. Maana matarajio yenu yalikuwa ni kuona Yanga inatolewa! Ila mwisho wa siku, aibu imewashukia. Na sasa mnakuja na mifano yenu ya kipuuzi, ya kujifariji.
 
Japo inashangaza kwa ulichoandika lakini sitaki kushangaa. Nilishangaa nilipopita kwenye kijiwe kimoja mjini nikakuta wanasema ile timu ya warabu dhaifu.

Khaa yaani dhaifu baada ya kufungwa kwao? Tumesahau kwamba hawa walisifiwa na yanga kuambiwa kwa mwarabu hutoki sijui na upuuzi gani.
 
Ni kweli, Yanga bila Simba wasingefika group stage, walikuwa wanataka Simba iwaige ujinga wao wa kuishia round ya kwanza Simba wakagoma, ndio wakaona aibu sasa imewabidi nao waende makundi.
 
Kuingia group stage ya 'Michuano Mikubwa' ya CAFCL in furaha tosha.

Mkuu NBC PL ni marathoni. Sasa hata nusu ya msimu haijafika upo keleleni unashangalia, hii ni akili kweli au ndo umevimbewa mihogo ya kuchemsha?!

NB: Olo ini Olo, UTOPOLO VIMBENI.
Mnyama Vipi Tena🦁
 
Kwa akili y'ako timamu bila kuvuta bangi unatarajia yanga atakuachia NBC? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

MAUMIVU NI MAKALI SANA KWA MBUMBUMBU
 
Historia:
Msimu Wa 2016/2017 Simba SC walifanikiwa kuongoza ligi kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Utopolo lakini mwisho wa ligi Utopolo ilichukua ubingwa kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Hali Ilivyo Sasa:
Hata nusu msimu haujafika, Utopolo anaongoza ligi, mashabiki washaanza kujiona mabingwa. Sawa Mabingwa, Tukutane Mwisho wa Msimu.
Hii sio yanga ya kudondosha point hovyo hovyo usijipe moyo. Ile Simba ilikuwa vibaya ndo sababu waliharibu mwishoni kama ile yanga ya zahera zilikua zinaongozwa na morali mwanzoni mwa ligi na average player wengi
 
Kwa akili y'ako timamu bila kuvuta bangi unatarajia yanga atakuachia NBC? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

MAUMIVU NI MAKALI SANA KWA MBUMBUMBU

Mkuu ngoja nivute kwanza, nikimaliza nakuja kukujibu.
 
Endeleeni tu kusikilizia maumivu. Maana matarajio yenu yalikuwa ni kuona Yanga inatolewa! Ila mwisho wa siku, aibu imewashukia. Na sasa mnakuja na mifano yenu ya kipuuzi, ya kujifariji.
Screenshot_2022-11-10-18-56-18~2.jpg

NB: Kila mtu alitegemea mtolewe, ndo mana hata uongozi umeamua kujiuzuru ikiwa ni kitendo cha kuwajibika baada ya kutolewa na kitimu kidogo.
 
Mwaka jana vijana wangu wawili walikua wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikua akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikua akifanya mitihani ya darasa la 4.

Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikua hivi:-
1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani hapakukalika ilikua kila mgeni akija anataka kumueleza matokeo yake na sisi wazazi tulisumbuliwa sana tununue zawadi. Nilichogundua furaha yake ni kwasababu ni mara yake ya kwanza kuexperience furaha hiyo.

2. Huyu wa kidato cha 4 alifaulu kwa kupata Division 1 ya point 9. Huyu alinyong'onyea sana, na hakutaka hata zawadi. Nilimkalisha chini nilimuuliza kwanini hana furaha? Akanijibu, Baba tangu nimeanza kufanya mitihani ya Taifa sikuwahi kufaulu kwa kiwango kidogo kama hichi. Nilichogundua huyu hakua na furaha kwa sababu ana malengo makubwa.

NILICHOJIFUNZA:
1. Ukiona timu inashangilia na kulifanya jambo kubwa kuingia group stage za michuano midogo ya CAFCC, usiwacheke au kuwazuia kwasababu wametimiza malengo yao au ndiyo experience pekee waliyoipata ambayo kujirudia tena si leo wala kesho.

2. Ukiona timu inachukulia poa kuingia group stage za michuano mikubwa ya CAFCL, usiwashangae kwasababu wana malengo makubwa na nikawaida yao kufika stage hiyo.
Yaani Bora ungekaa kimya tusingejua kichwa chako ni cheupe kiasi gani
 
Siku Kolo anafuzu mlipigaje kelele?
 
japo inashangaza kwa ulichoandika lakini sitaki kushangaa. nilishangaa nilipopita kwenye kijiwe kimoja mjini nikakuta wanasema ile timu ya warabu dhaifu
khaa yaani dhaifu baada ya kufungwa kwao? tumesahau kwamba hawa walisifiwa na yanga kuambiwa kwa mwarabu hutoki sijui na upuuzi gani
Nadhani walimaanisha yanga ni mbovu,kwa hiyo kitu kibovu kikifanikiwa kukiumiza kingine basi kile kibovu kilichobovuliwa kinabovuka zaidi.Mwingine tuuchukulie kama maneno ya kishabiki.
 
Back
Top Bottom