ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
- Thread starter
- #41
Siku Kolo anafuzu mlipigaje kelele?
Ndo mana nikasema Utopolo ni sawa na kijana wangu wa darasa la 4 ambapo alipofaulu aliona dunia yote ye ndo anaakili wakati kuna kaka yake (Simba SC) ambae japo kafaulu vizuri tu mtihani wake wa kidato cha 4, lakini hakuridhika na matokeo yake.